• Raisi: Wairani wapo macho na wanawafahamu wachochezi

    Raisi: Wairani wapo macho na wanawafahamu wachochezi

    Dec 30, 2023 12:09

    Rais Ebarhim Raisi wa Iran amesema taifa la Iran linaufahamu vyema uchochezi na kuwatambua wachochezi, na ndio maana walionyesha namna wana muono wa mbali katika tukio la kihistoria la Dei 9.

  • Mazungumzo ya kwanza ya simu baina ya Marais wa Iran na Misri; hatua ya kukuza uhusiano

    Mazungumzo ya kwanza ya simu baina ya Marais wa Iran na Misri; hatua ya kukuza uhusiano

    Dec 24, 2023 08:14

    Jana Jumamosi, Sayyid Ebrahim Raisi, Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran alizungumza kwa simu na Rais Abdel Fattah El Sisi wa Misri, ikiwa ni mara ya kwanza kwa marais wa nchi hizi mbili kuzungumza kwa simu na ikiwa ni katika sehemu ya juhudi za kufufua uhusiano wa pande mbili.

  • Kujiandikisha Putin kwa ajili ya uchaguzi wa Russia 2024

    Kujiandikisha Putin kwa ajili ya uchaguzi wa Russia 2024

    Dec 20, 2023 02:37

    Msemaji wa Kremlin Dmitry Peskov amethibitisha hhatua ya kwenda Rais Vladimir Putin wa Russia katika Kamati Kuu ya Uchaguzi ya nchi hiyo na kujiandikisha kama mgombea kwa muhula ujao wa urais, ambao utafanyika katikati ya Machi 2024. Putin amewasilisha stakabadhi zinazohitajika ili kujiandikisha kuwa mgombea urais.

  • Sisitizo la Putin la kutoziami nchi za Magharibi

    Sisitizo la Putin la kutoziami nchi za Magharibi

    Dec 19, 2023 02:34

    Siku ya Jumapili, Rais Vladimir Putin wa Russia alikiri katika hotuba isiyokuwa ya kawaida kwamba ni makosa kuzidhania vizuri na kuzitegemea nchi za Magharibi na kufikiria kuwa Russia haina tofauti na nchi hizo. Alisema: Nilidhani kimakosa kuwa hakungekuwepo mzozo kati ya Russia na nchi za Magharibi na kwamba ulimwengu ulikuwa umebadilika.

  • Mahakama Senegal 'yaridhia' kiongozi wa upinzani agombee urais

    Mahakama Senegal 'yaridhia' kiongozi wa upinzani agombee urais

    Dec 15, 2023 10:32

    Mahakama Kuu mjini Dakar imeamuru kusajiliwa upya kwa Ousmane Sonko, kiongozi wa upinzani nchini Senegal katika daftari la wapigakura, na hivyo kumruhusu kuwa mgombea urais.

  • Kuidhinishwa kuanza rasmi uchunguzi wa kumsaili Biden katika Bunge la Wawakilishi la Marekani

    Kuidhinishwa kuanza rasmi uchunguzi wa kumsaili Biden katika Bunge la Wawakilishi la Marekani

    Dec 15, 2023 02:56

    Bunge la wawakilishi la Marekani jana Jumatano lilipasisha azimio kwa kura 221 za ndio mkabala wa 212 za kupinga kuanzisha rasmi uchunguzi wa kumsaili Rais Joe Biden wa nchi hiyo. Kabla ya kura hiyo, Kelly Armstrong, Mwakilishi wa Kongresi ya Marekani kwa niaba ya wajumbe wa Baraza la Wawakilishi la Marekani, alichapisha rasimu ya azimio kwa ajili ya kuendelea uchunguzi huo tajwa kwa lengo la kumuuzulu Rais Joe Biden wa Marekani.

  • Raisi: Kimbunga cha al-Aqsa kimepanua mipaka ya muqawama

    Raisi: Kimbunga cha al-Aqsa kimepanua mipaka ya muqawama

    Dec 10, 2023 04:01

    Rais wa Iran amesema Operesheni ya Kimbunga cha al-Aqsa imepanua mipaka ya muqawama na kuufikisha katika kona zote za dunia.

  • Zelensky akosoa upuuzaji wa nchi za Magharibi kwa Ukraine

    Zelensky akosoa upuuzaji wa nchi za Magharibi kwa Ukraine

    Dec 02, 2023 10:24

    Rais Volodymyr Zelenskyy wa Ukraine amezikosoa nchi za Magharibi chini ya uongozi wa Marekani kwa kuisahau Ukraine na kuipunguzia misaada nchi hiyo katika vita na Russia.

  • Rais wa Iran asusia mkutano wa COP28 Dubai kwa kushiriki Israel

    Rais wa Iran asusia mkutano wa COP28 Dubai kwa kushiriki Israel

    Dec 01, 2023 06:47

    Rais Ebrahim Raisi wa Iran hatashiriki mkutano wa 28 wa nchi wanachama wa Mkataba wa Mabadiliko ya Tabianchi, COP28, mjini Dubai kutokana na uwepo wa Rais Isaac Herzog na maafisa wengine wa utawala wa Kizayuni wa Israel kwenye mkutano huo.

  • Raisi: Israel haijaambulia chochote katika vita vyake Gaza

    Raisi: Israel haijaambulia chochote katika vita vyake Gaza

    Nov 23, 2023 07:35

    Rais Ebrahim Raisi wa Iran amesema Israel imefeli kufikia malengo yake yote katika hujuma na mashambulizi yake ya kinyama dhidi ya wananchi wa Palestina katika Ukanda wa Gaza.