-
Human Rights Watch: Waliouawa katika maandamano ya Kenya wanakaribia 30
Jun 29, 2024 22:46Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limetangaza kuwa, karibu watu 30 wameaga dunia katika maandamano ya wiki hii ya kupinga muswada wa fedha wa 2024 ambao unaongeza ushiru wa bidhaa.
-
Mji wa Kanyabayonga DRC watekwa na waasi wa M23
Jun 29, 2024 22:45Mji wa kimkakati wa Kanyabayonga, wa kaskazini mwa mji wa Goma, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo umetekwa na waasi wa M23.
-
Jeshi la Nigeria laangamiza magaidi 2,245 ndani ya miezi 3
Jun 29, 2024 08:49Mkurugenzi wa shughuli za vyombo vya habari vya jeshi la Nigeria, Meja Jenerali Edward Buba amesema kuwa watu 1,993 waliokuwa wametekwa nyara wameokolewa baada ya wahalifu kupewa kikomboleo huku, silaha 2,783 za magaidi zikinaswa.
-
Al-Burhan kumtangaza waziri mkuu mpya wa Sudan
Jun 29, 2024 03:50Mkuu wa Baraza la Utawala na Kamanda wa Jeshi la Sudan, Jenerali Abdel Fattah Al-Burhan, anakaribia kumtangaza waziri mkuu mpya atakayeunda serikali ya kitaifa.
-
Ennahda Tunisia yalaani kuendelea kufungwa Rached Ghannouchi
Jun 29, 2024 02:57Harakati ya Ennahda ya Tunisia jana Ijumaa ililaani kifungo cha kiongozi wake, Rached Ghannouchi, kutozwa faini, na kuwekwa chini ya udhibiti wa kiutawala kwa miaka 3.
-
UN: Maelfu ya watu Sudan Kusini wanakabiliwa na janga la uhaba wa chakula
Jun 28, 2024 22:46Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, Sudan Kusini inakabiliwa na janga la ghasia, mafuriko, mgogoro wa kiuchumi na njaa, huku watu 79,000 katika Jimbo la Jonglei pekee wakikabiliwa na uhaba mkubwa wa chakula.
-
Mahakama Kuu Kenya yawaamuru polisi kuacha kutumia ukatili dhidi ya waandamanaji
Jun 28, 2024 10:36Mahakama Kuu ya Kenya leo Ijumaa imetoa agizo la kuzuia polisi ya kitaifa kutumia maji ya kuwasha, mabomu ya kutoa machozi, risasi za moto na za mpira pamoja na silaha nyengine dhidi ya waandamanaji wanaopinga Muswada wa Fedha wa mwaka wa 2024.
-
Ramaphosa aomboleza mauaji ya wanajeshi wa A/Kusini DRC
Jun 28, 2024 05:47Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ameelezea kusikitisha mno na mauaji ya wanajeshi wawili wa nchi yake na kujeruhiwa wengine 20 huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).
-
Mahakama Kenya yaidhinisha kutumiwa jeshi kukabiliana na waandamanaji
Jun 28, 2024 04:14Mahakama nchini Kenya imeidhinisha uamuzi wa kulipeleka jeshi mitaani kuwasaidia polisi, wakati huu maandamano yakiendelea dhidi ya muswada wa fedha wa 2024 ambao serikali imeahidi kuuondoa.
-
Rais wa Angola: Marais Kagame na Tshisekedi kukutana kwa mazungumzo
Jun 28, 2024 03:32Rais Joao Lourenço wa Angola amesema kuwa, mazungumzo yanaendelea ili kuandaa "hivi karibuni" mkutano kati ya Marais Paul Kagame wa Rwanda na Felix Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ili kufikia amani mashariki mwa DRC.