-
Iran na Algeria zasisitiza kuimarisha uhusiano wa kiuchumi na kimataifa
Aug 21, 2023 13:12Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran na mwenzake wa Algeria wamesisitiza udharura wa kustawishwa uhusiano wa kiuchumi, kieneo na kimataifa wa pande mbili.
-
Balozi wa Kenya nchini Iran atembelea viwanda vya uzalishaji Arak
Aug 21, 2023 11:09Balozi wa Kenya mjini Tehran ametembelea viwanda vya uzalishaji katika mji wa Arak, makao makuu ya mkoa wa Markazi, unaofahamika kama mji mkuu wa viwanda wa Iran.
-
Iran na Afrika Kusini katika mkondo wa kuhuisha kikamilifu mahusiano
Aug 11, 2023 11:04Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wiki hii aliekea Pretoria Afrika Kusini kwa ajili ya kushiriki katika mkutano wa 15 wa Kamisheni ya Pamoja ya Ushirikiano wa Kiuchumi kati ya Iran na Afrika Kusini na kukutana na viongozi mbalimbali wa taifa hilo.
-
Mehdi Safari: Iran inaweza kuimarisha uhusiano wake na BRICS licha ya vikwazo
Aug 08, 2023 15:11Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayehusika na masuala ya uchumi amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu inaweza kuanzisha uhusiano na kundi la BRICS linaloundwa na nchi zinazoibukia kiuchumi, licha ya kukabiliwa na vikwazo haramu vya Marekani.
-
Afisa mwandamizi wa usalama wa Iran ahudhuria mkutano wa BRICS Afrika Kusini
Jul 24, 2023 11:32Katibu wa Baraza la Usalama wa Taifa la Iran yuko nchini Afrika Kusini kushiriki mkutano wa ngazi ya juu wa usalama wa nchi kundi la BRICS.
-
Misri: Tuna hamu ya kuwa na uhusiano chanya na Iran
Jul 20, 2023 03:42Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Misri ameitaja Iran kama nchi kubwa na yenye ushawishi katika eneo na kusisitiza kuwa, maingiliano baina ya nchi mbili hizi hayajawahi kuvunjika.
-
Mtaalamu: Iran imepata ushindi wa kidiplomasia barani Afrika wakati huu wa mzozo wa madola makubwa
Jul 15, 2023 10:18Mtafiti wa masuala ya kisiasa Idris Ehmid amesema kuwa, Iran inataka kuendeleza uhusiano wake na kujenga zaidi madaraja ya ushirikiano na bara la Afrika na ushahidi wa wazi ni ziara ya Rais Ebrahim Raisi katika nchi tatu za Afrika.
-
Balozi wa Iran nchini Kenya: Jamhuri ya Kiislamu imefanikiwa kupanua ushirikiano na nchi za Afrika
Jul 14, 2023 08:02Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Kenya amesema kuwa utendaji wa Serikali ya Awamu ya 13 umekuwa na mafanikio katika kupanua ushirikiano na Kenya.
-
Raisi: Uporaji mali za Waafrika na kuwageuza watumwa ni matokeo ya siasa zisizojali masuala ya kiroho
Jul 14, 2023 04:39Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza katika kikao cha dini mbalimbali kilichofanyika katika Msikiti wa Taifa wa Uganda kuwa: uporaji mali za Waafrika na kuwafanya watumwa ni matokeo ya siasa zisizojali masuala ya kiroho.
-
Zimbabwe, kituo cha mwisho cha safari ya Rais wa Iran barani Afrika
Jul 14, 2023 02:14Rais Ibrahim Rais wa Jamhuri ya Kiislamu jana Alkhamisi aliwasili Harare mji mkuu wa Zimbabwe ambapo alikutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa nchi hiyo akiwemo mwenyeji wake, Rais Emerson Mnangagwa.