Wakati Kiongozi Muadhamu alipoonana na Jeshi la Anga maadhimisho ya Alfajiri Kumi 2025
https://parstoday.ir/sw/news/uncategorised-i122416-wakati_kiongozi_muadhamu_alipoonana_na_jeshi_la_anga_maadhimisho_ya_alfajiri_kumi_2025
Sambamba na maadhimisho ya Alfajiri Kumi ya mwaka wa 46 wa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya nchini Iran, Imam Khamenei ameonana na kundi la maafisa wa Jeshi la Anga la Iran.
(last modified 2026-05-20T03:07:53+00:00 )
Feb 07, 2025 04:02 UTC
  • Wakati Kiongozi Muadhamu alipoonana na Jeshi la Anga maadhimisho ya Alfajiri Kumi 2025

Sambamba na maadhimisho ya Alfajiri Kumi ya mwaka wa 46 wa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya nchini Iran, Imam Khamenei ameonana na kundi la maafisa wa Jeshi la Anga la Iran.

Ikumbukwe kuwa, siku chache kabla ya kupata ushindi Mapinduzi ya Kiislamu mwaka 1979, Jeshi la Anga la Iran lilitangaza utiifu wake kwa Imam Khomeini, mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

Hapa chini tumeweka picha chache za mkutano huo.