Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Alfajiri Kumi

  • Mapinduzi ya Kiislamu; uungaji mkono kwa mapambao ya Kiislamu na Quds Tukufu

    Mapinduzi ya Kiislamu; uungaji mkono kwa mapambao ya Kiislamu na Quds Tukufu

    Feb 10, 2018 13:17

    Hii leo ulimwengu wa Kiislamu ungali una madonda makongwe ambayo yamesababishwa na madola ya kiistikbari kwa Umma wa Kiislamu na muhimu zaidi kati ya madonda hayo ni suala la Palestina na kuendelea siasa za utawala haramu wa Israel za kughusubu ardhi za Waislamu.

  • Sababu za kubakia na kudumu Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran

    Sababu za kubakia na kudumu Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran

    Feb 10, 2018 10:55

    Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa kuadhimisha miaka 39 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yaliyotokea mwaka 1979 kwa uongozi wenye busara wa Imam Ruhullah Khomeini; mapinduzi ambayo yalihitimisha utawala dhalimu na kibarala wa mfalme Shah. 11/02/2018

  • Mufti wa Waislamu wa Kisuni Iraq ayasifu Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran

    Mufti wa Waislamu wa Kisuni Iraq ayasifu Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran

    Feb 10, 2018 07:57

    Mufti Mkuu wa Waislamu wa madhehebu ya Kisuni nchini Iraq ameyasifu Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran na kueleza kuwa, yamekuwa na taathira chanya katika Mashariki ya Kati na ulimwengu kwa ujumla.

  • Mapinduzi ya Kiislamu; umoja wa kitaifa, utukufu wa Uislamu na dola la kimataifa la Imam Mahdi (af)

    Mapinduzi ya Kiislamu; umoja wa kitaifa, utukufu wa Uislamu na dola la kimataifa la Imam Mahdi (af)

    Feb 09, 2018 12:55

    Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yana sifa za kipekee. Umoja wa kitaifa na utukufu wa Uislamu ambayo ni misingi muhimu ya dola la kimataifa la Imam Mahdi (af) ni baadhi ya sifa za mapinduzi hayo.

  • Ujumbe wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa Mwanadamu wa Leo

    Ujumbe wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa Mwanadamu wa Leo

    Feb 09, 2018 05:46

    Licha ya kupita miaka 39 sasa tangu baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran lakini mapinduzi hayo na taathira zake kikanda na kimataifa yangali yanajadiliwa hadi sasa katika duru mbalimbali za kisiasa, vyuo vikuu na vyombo vya habari kote duniani.

  •  Kujiamini na ustawi wa kisayansi Iran

    Kujiamini na ustawi wa kisayansi Iran

    Feb 08, 2018 08:29

    Hamjambo wapenzi wasikilizaji. Tuko katika siku hizi ambazo ni maarufu kama Alfajiri 10, ambazo ni siku za kuadhimisha ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran mwaka 1979. Tumewaandalia makala kadhaa kwa munasaba huo na leo tutaangazia maendeleo na mafanikio makubwa ya watu wa Iran katika uga wa sayansi kutokana na kujiamini taifa hili la Kiislamu. Karibuni.

  • Rais Rouhani: Ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ulikuwa muujiza wa kihistoria na kisiasa

    Rais Rouhani: Ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ulikuwa muujiza wa kihistoria na kisiasa

    Feb 05, 2018 16:44

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, ushindi wa Mapinduzi ya Kiisamu ya Iran yaliyotokea 1979 ulikuwa muujiza wa kihistoria na kisiasa.

  • Marekani na makabiliano ya daima dhidi ya Mapinduzi ya Kiislamu

    Marekani na makabiliano ya daima dhidi ya Mapinduzi ya Kiislamu

    Feb 05, 2018 11:07

    Kipindi hiki kimejaribu kutupia jicho kwa ufupi uadui ambao umekuwa ukiendeshwa na Marekani dhidi ya Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran kwa karibu miaka 40 iliyopita.

  • Jumatatu tarehe 5 Februari, 2018

    Jumatatu tarehe 5 Februari, 2018

    Feb 05, 2018 04:34

    Leo ni Jumatatu tarehe 18 Jamadil Awwal 1439 Hijria sawa na Februari 5, 2018

  • Mapinduzi ya Kiislamu; miaka 39 ya kusimama kidete dhidi ya mfumo wa kibeberu

    Mapinduzi ya Kiislamu; miaka 39 ya kusimama kidete dhidi ya mfumo wa kibeberu

    Feb 01, 2018 08:40

    Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika sehemu nyingine ya kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa maadhimisho ya Alfajiri Kumi, ambacho ni kipindi cha tangu kurejea Imam Khomeini kutoka uhamishoni hadi kupatikana ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu

Onesha Zaidi
Habari Kuu
  • Mwendesha Mashtaka wa ICC aikosoa Marekani kwa kuwafananisha majaji wa mahakama hiyo na magaidi, walanguzi wa dawa za kulevya

    Mwendesha Mashtaka wa ICC aikosoa Marekani kwa kuwafananisha majaji wa mahakama hiyo na magaidi, walanguzi wa dawa za kulevya

    10 hours ago
  • Jumuiya ya Wafungwa wa Palestina: Israel ina mpango wa kumuua Marwan Barghouthi

  • Sudan yawatuhumu wanamgambo wa RSF kwa kuuwa raia 79 huko Kordofan Kusini

  • Katibu Mkuu wa Hizbullah: Lebanon inakabiliwa na uchokozi hatari wa Israel

  • Tuzo ya Amani ya FIFA kwa Trump yaitwa 'Joki ya Karne'

Chaguo La Mhariri
  • Idadi ya wahanga wa mashambulizi ya Pakistan nchini Afghanistan yaongezeka

    Idadi ya wahanga wa mashambulizi ya Pakistan nchini Afghanistan yaongezeka

    11 hours ago
  • Kumpa Trump Tuzo ya Amani ya FIFA: Ni Ubunifu au Mchezo wa Siasa?

    Kumpa Trump Tuzo ya Amani ya FIFA: Ni Ubunifu au Mchezo wa Siasa?

    13 hours ago
  • Je, sera za chama tawala zimechangia kuenea chuki na ukatili dhidi ya Waislamu nchini India?

    Je, sera za chama tawala zimechangia kuenea chuki na ukatili dhidi ya Waislamu nchini India?

    21 hours ago
Zilizotembelewa Zaidi
  • IRGC yaanza maneva makubwa la kijeshi Ghuba ya Uajemi kwa kutoa onyo kwa meli za Marekani

  • Hamas: Mwisho wa Abu Shabab ndio hatima isiyoepukika ya kila msaliti

  • Mwanamfalme wa Saudia: Tishio hasa la Asia Magharibi ni Israel, si Iran

  • Yasser Abu Shabab, mshirika wa Israel na msaliti wa Wapalestina wa Ghaza aripotiwa kuuawa

  • Wasomali wamjia juu Trump baada ya kuwaita "takataka", na kwamba nchi yao "inanuka"

  • Wakimbizi wa Burundi watakiwa kuondoka Tanzania

  • Trump na mkakati wa kuchochea ubaguzi wa rangi

  • Utafiti: Vita vya Gaza vinawasukuma Waingereza kwenye dini ya Uislamu

  • India, Russia zasisitiza utatuzi wa mpango wa nyuklia wa Iran kupitia mazungumzo

  • Wairaqi waunga mkono Hizbullah na Ansarullah baada ya tangazo la kuzuiliwa mali zao kimakosa

  • Marais wa DRC na Rwanda wasaini makubaliano chini ya upatanishi wa US huku mapigano yakiendelea

Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS