-
Mapinduzi ya Kiislamu katika mstari wa mbele wa kupinga uistikbari na kuunga mkono mapambano ya Kiislamu
Feb 01, 2018 08:12Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika makala hii maalumu niliyowaandalieni kwa munasaba wa siku hizi za maadhimisho ya kuingia katika mwaka wa 40 wa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ya 1979. Katika makala hii ya leo tutaangazia kadhia ya 'Mapinduzi ya Kiislamu katika mstari wa mbele wa kupinga uiskitabiri wa kimataifa na kuunga mkono muqawama au mapambano ya Kiislamu.
-
Mchango wa uongozi bora katika ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran
Feb 01, 2018 08:06Siku kumi za kabla ya kupata ushindi kamili Mapinduzi Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran maarufu hapa nchini kwa jina la Alfajiri Kumi zinakumbusha nyakati tamu na chungu kwa taifa la Iran ambalo hatimaye lilifanikiwa kufanya mapinduzi makubwa zaidi katika karne ya ishirini kutokana na mshikamano wao na uongozi shupavu wa hayati Imam Ruhullah Khomeini.
-
Wairani waanza sherehe za Alfajiri Kumi za ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Feb 01, 2018 07:57Wananchi wa Iran wameanza sherehe za Alfajiri Kumi katika kona zote za nchi kwa ajili ya kuadhimisha miaka 39 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya mwaka 1979 nchini Iran ambayo yaliupindua utawala wa kitaghuti wa Kipahlavi uliokuwa unaungwa mkono kila upande na Marekani.
-
Mapinduzi ya Kiislamu, Imam Khomeini na Msingi wa Utawala wa Faqihi
Jan 31, 2018 08:47Alfajiri ya tarehe 12 Bahman 1357 Hijria Shamsia (11 Februari 1979) ilikuwa siku ya matarajio makubwa na kusibiri kwa hamu kulikoandamana na wasiwasi na hofu kubwa.
-
Alkhamisi, Januari 25, 2018
Jan 25, 2018 03:11Leo ni Alkhamisi 7 Jamadil Awwal 1439 Hijria sawa na Januari 25, 2018.
-
Umoja kwa mtazamo wa Imam Khomeini na Kiongozi Muadhamu
Dec 04, 2017 17:02Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa kumbukumbu na maadhimisho ya Wiki ya Umoja.
-
Alkhamisi Septemba 14, 2017
Sep 16, 2017 06:26leo ni Alkhamisi 23 Dhulhija 1438 hijria sawa na Septemba 14, 2017
-
Jumatano tarehe 6 Septemba, 2017
Sep 06, 2017 03:35Leo ni Jumatano tarehe 15 Dhilhija 1438 Hijria sawa na 6 Septemba 2017.
-
Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran katika Mtazamo wa Wanafikra wa Kimagharibi-3
Feb 15, 2017 06:12Moja kati ya matukio makubwa ya dunia ya sasa hususan katika karne moja iliyopita ni Mapinduzi ya Kiislamu ya wananchi wa Iran.
-
Rais Rouhani: Jibu la wananchi wa Iran kwa vitisho vya adui litakuwa kali
Feb 10, 2017 15:56Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, wananchi wa Iran kamwe hawajaondoka katika njia na harakati ya kuyaunga mkono Mapinduzi ya Kiislamu na kutimiza malengo ya Imam Ruhullah Khomeini na Kiongozi wa sasa wa Mapinduzi, Ayatullah Ali Khamenei.