-
Mamilioni washiriki maandamano ya kuadhimisha ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu hapa Iran
Feb 10, 2017 08:18Mamilioni ya wananchi wa matabaka mbali mbali wa Iran wanashiriki maandamano ya amani katika kila pembe ya nchi, kuadhimisha sherehe za miaka 38 ya Ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchi hapa.
-
Ijumaa, Februari 10, 2017
Feb 10, 2017 02:43Leo ni Ijumaa tarehe 12 Jamadil Awawal 1438 Hijria sawa na tarehe 10 Februari, 2017
-
Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran katika Mtazamo wa Wanafikra wa Kimagharibi-1
Feb 09, 2017 10:01Makala hii maalumu inayokujieni kwa mnasaba wa siku hizi za maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran, inatupia jicho mitazamo ya wanafikra wa Kimagharibi kuhusu Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran katika Mtazamo wa Wanafikra wa Kimagharibi-2
Feb 09, 2017 08:42Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ambayo yalikuwa tukio la aina yake la kisiasa na kijamii na mapinduzi makubwa ya mwisho ya karne ya 20, yakuwa na taathira kubwa katika siasa za kimataifa na matukio ya kipindi hicho, jambo ambalo liliwashangaza wachambuzi wengi wa mambo.
-
Wapalestina: Kama si msaada wa Iran, kadhia yetu ingelikuwa imesahauliwa
Feb 08, 2017 16:43Makundi mbalimbali ya Palestina yamesisitiza kuwa, ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yaliyoongozwa na Imam Khomeini MA, mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran umelisaidia mno taifa la Palestina na kuzuia kusahauliwa taifa hilo madhlumu.
-
Maadhimisho ya Ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu (Sehemu ya Nane)
Feb 06, 2017 12:29Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi. Tukiwa tunaendelea na mfululizo wa makala hizi maalumu ambazo tumekuandalieni kwa mnasaba wa maadhimisho ya Alfajiri Kumi, ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ambayo hivi sasa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaadhimisha miaka 38 ya tangu kupata ushindi mapinduzi hayo matukufu ambayo yameleta mabadiliko makubwa sana ulimwengu, tunakukaribisheni katika sehemu nyingine ya mfululizo huu tukiwa na matumaini mtakuwa nasi hadi mwisho wa kipindi.
-
Nafasi muhimu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Asia Magharibi (Mashariki ya Kati)
Feb 03, 2017 18:26Karibuni katika mfululizo wa makala hizi ambazo wiki hii zinaangazia ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran miaka 38 iliyopita. Makala yetu ya leo itaangazia nafasi na ushawishi wa Iran eneo la Asia Magharibi, yaani Mashariki ya Kati. Karibuni.
-
Maadhimisho ya Ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu (Sehemu ya Tatu)
Jan 30, 2017 06:46Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi wa Idhaa ya Kiswahili, Radio Tehran. Hivi sasa tumo katika maadhimisho ya Alfajiri 10 za ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran. Leo tumeamua kukuleteeni kipindi maalumu kwa mnasaba huo ambapo tutajaribu kutupia jicho kwa muhtasari historia ndefu na chungu ya uingiliaji wa madola ya kibeberu hususan Marekani katika masuala ya ndani ya Iran.
-
Maadhimisho ya Ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu (Sehemu ya Pili)
Jan 30, 2017 05:47Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inayokutangazieni kutoka hapa mjini Tehran, na karibuni kusikiliza sehemu ya pili ya vipindi hivi maalumu ambavyo tumekuandalieni kwa mnasaba wa maadhimisho ya Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran.
-
Maadhimisho ya Ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu (Sehemu ya Kwanza)
Jan 29, 2017 07:07Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi. Karibuni katika mfululizo huu wa vipindi kadhaa tulivyokuandalieni kwa mnasaba wa maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya nchini Iran. Ni matumaini yetu mtakuwa nasi hadi mwisho wa mfululizo huu ambao tutakuwa nao kila siku hadi yatakapofikia kileleni maadhimisho hayo yaani siku ya Ijumaa ya tarehe 10 Februari.