-
Jumamosi, 28 Januari, 2017
Jan 28, 2017 02:50Leo ni Jumamosi tarehe 29 Mfunguo Saba Rabiu Thani 1438 Hijria mwafaka na tarehe 28 Januari mwaka 2017 Miladia.
-
Jumanne, 24 Januari, 2017
Jan 24, 2017 02:53Leo ni Jumanne tarehe 25 Rabiuthani 1438 Hijria sawa na Januari 24, 2017.
-
Ijumaa, Januari 20, 2017
Jan 20, 2017 02:39Leo ni Ijumaa tarehe 21 Mfunguo Saba Rabiuthani 1438 Hijria sawa na Januari 20, 2017 Milaadia
-
Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran na Fikra ya Umoja wa Kiislamu
Dec 12, 2016 10:43Assalamu Alaykum Wapenzi wasikilizaji na karibuni kuwa nami tena katika sehemu nyingine ya makala hizo zinazokujieni kwa mnasaba wa maadhimisho ya Wiki ya Umoja na Maulidi ya Mtume Muhammad (saw). Kipindi chetu leo kitazungumzia Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran na fikra ya umoja baina ya Waislamu.
-
Siku ya Kitaifa ya Kupambana na Ubeberu wa Kimataifa
Nov 09, 2016 11:27Tarehe 13 mwezi Aaban mwaka wa Hijria Shamsia ambayo mwaka huu inasadifiana na tarehe 3 Novemba, inatambuliwa hapa nchini Iran kama Siku ya Kitaifa ya Kupambana na Ubeberu wa Kimataifa.
-
Dehqan: Taifa la Iran litaendelea kulinda malengo matukufu ya Mapinduzi ya Kiislamu
Aug 16, 2016 15:34Waziri wa Ulinzi Brigedia Jenerali Hussein Dehqan amesema taifa la Iran lingali limesimama imara katika misimamo yake ya kulinda thamani na malengo matukufu ya Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Kiongozi Muadhamu ataja vipaumbele vya Bunge la Iran
Jun 05, 2016 15:27Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, uchumi wa kimuqawama, utamaduni na kufuatilia siasa za ndani ya nchi, za kieneo na za kimataifa ndivyo vipaumbele vikuu vya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran).
-
Richard Falk: Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ni tukio kubwa na la kipekee la karne ya 20
Jun 02, 2016 07:49Profesa Richard Falk, mhadhiri wa Sheria za Kimataifa katika Chuo Kikuu cha Princeton na ripota maalumu wa zamani wa Umoja wa Mataifa wa masuala ya haki za binadamu Palestina amesema Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ni tukio kubwa na la kipekee katika karne ya 20.
-
Chuo cha kidini Iran ni cha kimapinduzi
Mar 15, 2016 14:49Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa: "Chuo cha kidini (Hawza) mjini Qum kinapaswa kubakia "Chuo cha Kimapinduzi na Chimbuko la Mapinduzi" na ili kufikia lengo hilo kuna haja ya kuwepo fikra, tadbiri na mpango wa kina."
-
Kiongozi Muadhamu aonana na matabaka mbalimbali ya wananchi wa mkoa wa Azerbaijan Mashariki
Feb 17, 2016 15:09Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, kujitokeza kwa wingi na kwa mwamko wananchi wa Iran katika chaguzi mbili zijazo za Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) na ule wa Baraza la Wanavyuoni Wataalamu la kumchagua na kusimamia kazi za Kiongozi Muadhamu kutabatilisha njama za maadui.