-
Bahman 22 dhihirisho la nguvu za taifa la Iran
Feb 11, 2016 15:17Tarehe 11 Februari ni siku ya kuadhimisha ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu maarufu kwa sherehe za Bahman 22 nchini Iran. Leo (Alkhamisi) Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yameadhimisha miaka 37 ya tangu kupata kwake ushindi tarehe 11 Februari 1979.
-
Nafasi ya Mapinduzi ya Kiislamu katika kuleta umoja katika umma wa Kiislamu + SAUTI
Feb 09, 2016 08:57Bismillahir Rahmanir Rahim. Karibuni wapenzi wasikilizaji katika kipindi hiki kingine maalumu tulichokuandalieni kwa mnasaba wa maadhimisho Alfajiri Kumi ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya nchini Iran. Leo tutajaribu kuangazia nafasi ya mapinduzi hayo katika kuleta umoja na mshikamano katika umma wa Kiislamu tukiwa na matumaini mtakuwa nasi hadi mwisho wa makala hii.
-
Matamshi ya Kiongozi Muadhamu katika mkutano na maafisa wa Jeshi la Anga
Feb 09, 2016 07:38Ayatullah Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, siku ya Jumatatu alikutana na makamanda na maafisa wa Jeshi la Anga la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kusema, maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Februari 11 Bahman na uchaguzi ujao wa Februari 26 ni Idi mbili zenye maana kwa taifa la Iran.
-
Mapinduzi ya Kiislamu na moyo wa kujiamini
Feb 08, 2016 18:20Hamjambo wasikilizaji wapenzi na karibuni kuwa nasi tena katika sehemu nyingine ya makala hizi maalumu zinazokujieni kwa mnasaba wa siku hizi za kuadhimisha ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran. Ni matumaini yetu kwamba mtaendelea kuwa kando ye redio zenu kusikiliza tuliyokuandalieni.
-
Mapinduzi ya Kiislamu na Sanaa ya Kiislamu
Feb 07, 2016 08:53Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni kusikiliza kipindi kingine maalumu tulichokuandalieni kwa mnasaba wa maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran. Kipindi hiki kinakujieni moja kwa moja kupitia Idhaa ya Kiswahili, Saut ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Mchango wa Iran katika kuunga mkono kambi ya muqawama na kupambana na ugaidi wa kimataifa
Feb 07, 2016 08:42Assalamu Alaykum wasikilizaji wapenzi na karibuni kuwa nami katika mfululizo mwengine wa vipindi maalumu vinavyokujieni kwa mnasaba wa maadhimisho ya Alfajiri Kumi ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, ambapo leo tutazungumzia Mchango wa Iran katika kuunga mkono kambi ya muqawama na kupambana na ugaidi wa kimataifa. Endeleeni kuwa nami hadi mwisho wa kipindi kusikiliza niliyokuandalieni katika mfululizo huu.
-
Nafasi ya msikiti wakati wa kutokea Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran
Feb 07, 2016 08:31Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji popote pale yanapokufikieni matangazo haya ya Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hususan huko nyumbani AfrikaMashariki. Ninakukaribisheni mjiunge nami katika kipindi hiki maalumu nilichokuandalieni kwa mnasaba wa masiku haya adhimu ya kuadhimisha ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran uliopatikana mwaka 1979 kwa uongozi wa hekima na busara wa Imam Ruhullah Musawi al-Khomeini (r.a).
-
Fikra ya Mapinduzi ya Kiislamu mkabala na fikra ya Ukufurishaji na Utovu wa kufikiri
Feb 06, 2016 13:04Assalamu Alaykum wasikilizaji wapenzi na karibuni kuwa nami katika mfululizo huu wa vipindi maalumu vinavyokujieni kwa mnasaba wa maadhimisho ya Alfajiri Kumi ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, ambapo leo tutazungumzia Fikra ya Mapinduzi ya Kiislamu mkabala na fikra ya Ukufurishaji na ya Utovu wa kufikiri. Endeleeni kuwa nami hadi mwisho wa kipindi kusikiliza niliyokuandalieni katika mfululizo huu.
-
Taathira ya Mapinduzi ya Kiislamu katika Hali ya Wanawake Kimataifa
Feb 06, 2016 11:24Tuko katika siku za kukaribia kilele cha maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu; mapinduzi ambayo yameweza kuleta mabadiliko makubwa katika nyuga zote hasa katika masuala ya kiutamaduni, kijamii na kisiasa.
-
Imam Khomeini na kubadilishwa fikra ya mwamko wa Kiislamu kuwa mwenendo wa Kisiasa
Feb 03, 2016 07:20Ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran kwa uongozi wa Imam Khomeini (MA) na kuanzishwa kwa serikali iliyosimama juu ya msingi wa mafundisho ya Uislamu halisi, ulifungua ukurasa mpya katika ulimwengu wa siasa.