-
Taathira za Mapinduzi ya Kiislamu katika Harakati ya Kuhuisha Fikra za Kidini
Feb 03, 2016 07:10Hamjambo wasikilizaji wapenzi na karibuni kuwa nasi tena katika sehemu nyingine ya vipindi maalumu vinavyokujieni katika kipindi hiki cha maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran. Ni matumaini yangu kuwa mtaendelea kuwa nasi hadi mwisho.
-
Mapinduzi ya Kiislamu; kigezo cha kuiga katika kukabiliana na siasa za kibeberu za Magharibi
Feb 03, 2016 07:06Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi na karibuni kuwa nasi katika mfululizo huu wa vipindi maalumu vinavyokujieni kwa mnasaba wa maadhimisho ya Alfajiri Kumi ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, ambapo leo tutayazungumzia Mapinduzi ya Kiislamu, kama kigezo cha kuiga katika kukabiliana na siasa za kibeberu za Magharibi. Endeleeni kuwa nami hadi mwisho wa kipindi kusikiliza niliyokuandalieni katika mfululizo huu.
-
Taathira za Mapinduzi ya Kiislamu katika Harakati ya Kuhuisha Fikra za Kidini
Feb 01, 2016 08:30Hamjambo wasikilizaji wapenzi na karibuni kuwa nasi tena katika sehemu nyingine ya vipindi maalumu vinavyokujieni katika kipindi hiki cha maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran. Ni matumaini yangu kuwa mtaendelea kuwa nasi hadi mwisho.