-
Mahasimu wa kisiasa nchini Libya waafikiana kuhusu tarehe ya uchaguzi
May 29, 2018 14:02Pande hasimu za kisiasa nchini Libya zimeafikiana kuhusu kufanyika uchaguzi wa rais na wa bunge nchini humo Disemba 10 mwaka huu.
-
Amri ya Mahakama ya Katiba ya Madagascar ya kubuniwa nchini serikali ya umoja wa kitaifa
May 26, 2018 12:55Mahakama ya Katiba ya Madagascar imetoa amri ya kubuniwa serikali mpya ya umoja wa kitaifa kwa ajili ya kumaliza mgogoro wa kisiasa wa nchi hiyo.
-
Kutangazwa matokeo rasmi ya uchaguzi wa bunge Iraq na matukio ya kisiasa ya nchi hiyo
May 20, 2018 02:21Muungano wa As- Sairun unaoongozwa na Muqtada Sadr umeibuka mshindi katika uchaguzi wa bunge uliofanyika hivi karibuni nchini Iraq kwa kupata viti 54 vya uwakilishi bungeni huku muungano wa Fat-h unaoongozwa na Hadi al Amiri Katibu Mkuu wa Taasisi ya Badr ukinyakua viti 47 na muungano wa An- Nasr unaoongozwa na Waziri Mkuu Haidari al Abadi ukipata viti 42.
-
Orodha ya al Abadi inaongoza katika uchaguzi Iraq; matokeo ya awali yaonyesha
May 13, 2018 15:44Duru kutoka katika Tume Kuu Huru ya Uchaguzi ya Iraq leo imearifu kuwa orodha ya al Nasr yenye mfungamano na Haidar al Abadi Waziri Mkuu wa nchi hiyo inaongoza matokeo ya awali ya uchaguzi wa bunge yaliyotangazwa hadi sasa.
-
Nabih Berri: Umoja wa Kitaifa ndiyo matunda halisi ya uchaguzi wa bunge Lebanon
May 07, 2018 15:21Spika wa Bunge la Lebanon amesisitiza baada ya kutangazwa matokeo ya awali ya uchaguzi wa bunge nchini humo kwamba: Umoja wa kitaifa ndiyo matunda na mafaniko halisi ya uchaguzi wa bunge; ambayo yamepatikana kufuatia sheria mpya ya uchaguzi.
-
Chama cha Kiislamu cha al Nahdha chadai kushinda uchaguzi Tunisia, matokeo rasmi kutangazwa Mei 9
May 07, 2018 15:12Chama chenye mielekeo ya Kiislamu cha al Nahdha kimedai kuwa kimeshinda katika uchaguzi wa mabaraza ya miji uliofanyika jana Jumapili nchini Tunisia.
-
Uchaguzi wa kwanza wa mabaraza ya miji Tunisia baada ya kupinduliwa dikteta wa nchi hiyo
May 06, 2018 02:33Uchaguzi wa kwanza wa mabaraza ya miji nchini Tunisia baada ya kujirti mapinduzi ya wananchi yaliyomg'oa madarakani dikteta wa nchi hiyo mwaka 2011 unafanyika leo Jumapili tarehe 6 Mei.
-
Maadamano ya wananchi Madagascar yailazimu mahakama kuu kufuta sheria mpya ya uchaguzi
May 05, 2018 04:29Hatimaye Mahakama Kuu ya Katiba nchini Madagascar imefuta sehemu ya sheria mpya ya uchaguzi iliyoibua hivi karibuni ghasia na maandamano ya wananchi.
-
Uungaji mkono wa Serikali ya Maafikiano ya Kitaifa ya Libya kwa takwa la kamati ya pande nne
May 03, 2018 07:00Serikali ya Maafikiano ya Kitaifa ya Libya imetangaza uungaji mkono wake kwa takwa la kamati ya pande nne la kuyakubali matokeo ya uchaguzi ujao katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
-
Nouri al-Maliki: Saudia inapanga njama ya kuharibu uchaguzi ujao nchini Iraq
Apr 26, 2018 03:40Makamu wa Rais wa Iraq Nouri al-Maliki amesema Saudi Arabia inafanya kila iwezalo kupitia fedha na propaganda za vyombo vya habari kuharibu matokeo ya uchaguzi ujao nchini humo.