-
Waziri wa Ulinzi: Uhusiano na nchi za Afrika za kimapinduzi na zenye misimamo huru utastawishwa
Feb 23, 2026 23:01Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitizia kutekelezwa sera ya msingi ya kuendeleza na kustawisha uhusiano na nchi zenye misimamo huru na za kimapinduzi katika bara la Afrika Magharibi, hususan Burkina Faso.
-
Kutokubali Iran kusalimu amri mbele ya Marekani
Feb 23, 2026 22:51Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, akijibu mshangao wa Rais wa Marekani kuhusu sababu za Iran kutokubali kusalimu amri, aliandika kwa uwazi: “Hatusalimu amri kwa sababu sisi ni Wairani.”
-
'Kichapo ni hakika kwa adui': Kamanda Mkuu wa Jeshi la Iran abeza madai ya adui ya kutoshindwa
Feb 23, 2026 07:07Kamanda Mkuu wa Jeshi la Iran amebeza madai yanayotolewa na maadui ya kutoshindwa na kusema kuwa maadui hawakutarajia kuiona nchi hii ikionyesha umadhubuti wake mbele ya kuendelea kukusanya majeshi katika kanda hii.
-
Pezeshkian: Kuna ishara 'ya kutia moyo' katika mazungumzo na Marekani, lakini Iran iko tayari kwa hali yoyote
Feb 23, 2026 03:39Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, amekaribisha ishara ya "kutia moyo" katika mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja na Marekani kuhusu mpango wa nyuklia wa amani wa Tehran lakini amesema Jamhuri ya Kiislamu iko tayari kwa "hali yoyote inayowezekana."
-
Velayati: Kashfa ya Epstein ilikuwa mwisho wa ustaarabu wa Magharibi
Feb 23, 2026 03:38Mshauri wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu kuhusu masuala ya kimataifa amesema: "Uchunguzi kuhusu kesi ya wanasiasa wa Marekani na washirika wao wa Magharibi katika kadhia ya Jeffrey Epstein umeibua kashfa kubwa katika nchi za Magharibi katika nyanja zote."
-
Kamanda wa Iran apuuzilia mbali hatua ya US ya kutuma meli za kivita Asia Magharibi; asema ni ya kimaonyesho
Feb 23, 2026 00:10Kamanda wa jeshi la Iran amepuuzilia mbali mkusanyiko wa meli na ndege za kivita za Marekani katika eneo la Asia Magharibi zilizoshuhudiwa wiki chache za hivi karibuni na kuitaja kuwa hatua ya kimaonyesho" huku kukiwa na mvutano kuhusu mpango wa nyuklia wa Tehran na kwamba Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa jibu madhubuti kwa hila hizo za hali ya juu.
-
Marekani yashangaa kwa nini Iran haijasalimu amri licha ya mashinikizo ya kijeshi
Feb 23, 2026 00:10Mjumbe maalum wa Marekani katika eneo la Asia Magharibi, Steve Witkoff, amesema kuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameonyesha mshangao mkubwa kuhusu sababu zinazofanya Iran isikubali masharti ya Washington katika mazungumzo yanayohusu mpango wake wa nyuklia.
-
Waziri Araghchi: Iran italinda haki za taifa katika nyuklia kupitia diplomasia
Feb 22, 2026 08:54Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, amesisitiza dhamira ya nchi yake kulinda haki halali za taifa katika nyanja ya nishati ya nyuklia kwa njia ya diplomasia.
-
Iran yamkemea balozi wa Marekani aliyeunga mkono mpango wa “Israel Kubwa”
Feb 22, 2026 08:52Iran imejiunga na nchi na mashirika kadhaa ya Kiislamu na Kiarabu katika kulaani vikali kauli za balozi wa Marekani katika maeneo yanayokaliwa kwa mabavu, aliyedokeza kuwa Israel ina haki ya kupanua uvamizi wake hadi sehemu kubwa ya Asia Magharibi.
-
Iran yajibu mapigo kwa kuyatambua majeshi ya wanamaji na wanaanga ya EU kama mashirika ya 'kigaidi'
Feb 22, 2026 03:21Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetoa taarifa kuhusu uchukuaji hatua za kujibu mapigo kukabiliana na uamuzi haramu wa nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya, EU wa kuviwekea lebo ya ugaidi baadhi ya vikosi vya ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.