-
Ramadhani, Mwezi wa Dhifa ya Mwenyezi Mungu (25)
Mar 27, 2025 06:31Assalamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuh. Ni furaha iliyoje kuwa nanyi tena wapenzi wasikilizaji katika mfululizo mwengine wa Ramadhani, Mwezi wa Dhifa ya Mwenyezi Mungu.
-
Ramadhani, Dhifa ya Mwenyezi Mungu (9)
Mar 17, 2025 06:21Mwezi mtukufu wa Ramadhani ni kama mvua laini ya msimu wa kuchipua inayonyeshea jangwa kavu na lenye kiu. Hebu na tuyaloweshe majangwa ya roho zetu kwa mvua hii yenye uhai.
-
Ramadhani, Mwezi wa Dhifa ya Mwenyezi Mungu (6)
Mar 16, 2025 08:06Mwezi mtukufu wa Ramadhani ni kama ilivyo mvua ya msimu wa machipuo, inayonyesha kwenye jangwa kavu lenye kiu ya maji. Jongeeni tukidhi kiu ya nyoyo zetu kwa maji ya mvua hii ya uzima.
-
Ramadhani, Mwezi wa Dhifa ya Mwenyezi Mungu (5)
Mar 13, 2025 07:24Assalaam Alaykum wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inayokutangazieni kutoka mjini Tehran na karibuni kusikiliza sehemu ya tano ya kipindi hiki maalumu tulichokutayarishieni kwa mnasaba wa mwezi huu mtukufu wa Ramadhni.
-
Ramadhani, Mwezi wa Dhifa ya Mwenyezi Mungu-4
Mar 12, 2025 09:28Mwezi wa Ramadhani ambao imeteremshwa humo Qur´ani, kuwa mwongozo kwa watu, na hoja zilizowazi za uongofu na upambanuzi. Basi atayekuwa katika mji (wake) katika mwezi huu aufunge....
-
Ramadhani, Mwezi wa Dhifa ya Mwenyezi Mungu (3)
Mar 12, 2025 09:13Hamjambo wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inayokutangazieni kutoka mjini Tehran na karibuni kusikiliza kipindi kingine maalumu ambacho tumekutayarishieni kwa mnasaba wa mwezi huu mtukufu wa Ramadhani.
-
Ramadhani, Mwezi wa Dhifa ya Mwenyezi Mungu-2
Mar 11, 2025 10:17Mwezi wa Ramadhani ambao imeteremshwa humo Qur´ani, kuwa mwongozo kwa watu, na hoja zilizo wazi za uwongofu na upambanuzi. Basi atayekuwa katika mji (wake) katika mwezi huu aufunge. Na mwenye kuwa mgonjwa au safarini, basi atimize hisabu katika siku nyengine. Mwenyezi Mungu anakutakieni yaliyo mepesi wala hakutakieni yaliyo mazito, na mtimize hiyo hisabu, na mumtukuze Mwenyezi Mungu kwa kuwa amewangoza ili mpate kushukuru. (Baqarah:185)
-
Ramadhani; Mwezi wa Dhifa ya Mwenyezi Mungu (1)
Mar 10, 2025 07:10Assalaam alaykum wapenzi wasikilizaji. Tumo katika siku tukufu za ibada ya funga ya mwezi wa Ramadhani na sote tumealikwa kuwa wageni wa Mwenyezi Mungu Mtukufu.
-
Umewahi Kusoma Hotuba ya Sha'baniyyah ya Mtume Muhammad (saw)?
Feb 27, 2025 13:22Kwa mujibu wa kitabu cha “Kanzul-Maram fi A'mal Shahr al-Siyam”, Sheikh al-Saduq anamnukuu Imam Ridha (AS) akisema kwamba, katika moja ya siku za mwisho za mwezi wa Shaaban, kabla ya kuingia Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, Mtume Muhammad (SAW) alitoa hotuba inayojulikana kama al Khutbatu Al-Sha'baniyyah.
-
Pezeshkian asisitiza himaya ya pande zote ya Iran kwa Palestina na kukombolewa Quds
Jul 11, 2024 13:24Rais mteule wa Iran amesisitiza himaya na uungaji mkono wa pande zote wa Jamhuri ya Kiislamu kwa kadhia ya Palestina na kukombolewa Quds inayokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel.