Kuwekwa vikwazo vipya dhidi ya Iran

Kuwekwa vikwazo vipya dhidi ya Iran

Wizara ya Fedha ya Marekani kwa mara nyingine imeamua kuweka vikwazo vipya dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

Makundi ya Palestina yako tayari kukabiliana na njama za pamoja za Marekani na utawala wa Kizayuni

Makundi ya Palestina yako tayari kukabiliana na njama za pamoja za Marekani na utawala wa Kizayuni

Mustafa al-Barghouthi, Katibu Mkuu wa Harakati ya Ubunifu wa Kitaifa ya Palestina ametahadharisha kuhusu njama mpya ya pamoja ya serikali ya Marekani na utawala haramu wa Israel kuhusu ujenzi wa bandari au gati la muda huko Gaza.

Joe Biden akiri kuongezeka chuki dhidi ya Uislamu Marekani

Joe Biden akiri kuongezeka chuki dhidi ya Uislamu Marekani

Ijumaa, Februari 15, Rais Joe Biden wa Marekani huku akikiri kuongezeka chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu nchini humo tangu kuanza mashambulizi ya Wazayuni huko Gaza alisema: 'Waislamu kote duniani wanapitia hali ngumu kutokana na imani yao.'

Makundi ya mapambano ya Palestina yakosoa hatua ya Mahmoud Abbas ya kumteua waziri mkuu mpya

Makundi ya mapambano ya Palestina yakosoa hatua ya Mahmoud Abbas ya kumteua waziri mkuu mpya

Mahmoud Abbas, Mkuu wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina, amemteua Mohammad Mustafa kwa ajili ya kuunda baraza jipya la mawaziri, hatua ambayo imekosolewa na makundi ya muqawama ya Palestina.