-
Watumiaji X: Kutoka Afghanistan hadi Venezuela; mlolongo wa uingiliaji kati wa Marekani unaendelea
Oct 17, 2025 14:11Watumiaji wa mtandao wa kijamii wa "X" wamesisitiza kuwa lengo la Marekani katika kuchagua chaguo la kijeshi kuhusu Venezuela ni kufanya uporaji katika nchi hiyo ya Amerika Kusini.
-
Watumiaji wa X: Mkutano wa Sharm al-Sheikh ulikuwa mkutano wa makubaliano ya amani ya kichekesho zaidi duniani
Oct 15, 2025 14:27Watumiaji wa mtandao wa kijamii wa X wameuelezea mkutano wa Sharm al-Sheikh kuwa ni onyesho la nguvu na hadaa zenye lengo la kupuuza haki za watu wa Palestina.
-
Watumiaji wa X: Hamas imehuisha jina Palestina/ Israel ndilo neno linalochukiwa zaidi duniani
Oct 14, 2025 04:25Katika radiamali kwa makubaliano ya kuhitimisha vita huko Gaza, watumiaji wa mtandao wa kijamii wa "X" wamesema utawala wa Kizayuni umeshindwa kufikia malengo yake dhidi ya muqawama wa Kiislamu wa Palestina, "Hamas."
-
Kutoweza Afrika Kusini kuachana na Muqawama na ukombozi wa Palestina
Apr 25, 2025 07:17Tarehe 29 Disemba 2023 imerekodiwa katika kumbukumbu za historia ya baada ya mwaka 1994 ya Afrika Kusini kama siku muhimu sana baada ya Pretoria kufungua kesi dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika mahakama ya ICJ, ikiwasilisha hoja za kisheria za kina na zenye mashiko kwamba ukatili wa Israel katika Ukanda wa Ghaza unakanyaga Mkataba wa Kimataifa wa Kuzuia Mauaji ya Kimbari.
-
Kwa mara nyingine Yemen yayatwanga maeneo ya jeshi la Israel huko Jaffa
Apr 12, 2025 06:41Jeshi la Yemen (YAF) limetangaza habari ya kufanya operesheni nyingine ya ndege zisizo na rubani na kutwanga maeneo mawili ya jeshi la Israel katika eneo Jaffa karibu na Tel Aviv na kusema kuwa hayo ni majibu ya moja kwa moja ya mauaji ya kimbari yanayoendelea kufanywa na utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina huko Ghaza.
-
Wanamitandao wa Iran: "Trump anasema uwongo", "Marekani Shetani hatoki hatiani kwa mazungumzo"
Apr 08, 2025 10:46Watumiaji wa mtandao wa kijamii wa X wametuma jumbe mbalimbali za kukosoa sera za Rais wa Marekani dhidi ya Iran na ushirikiano wake na viongozi wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika kufanya jinai za kivita huko Ghaza.
-
Siku mbaya zaidi: Israeli yaua karibu watu 80 wa Ghaza katika shambulio kwenye zahanati ya UN
Apr 03, 2025 14:26Wimbi jipya la mashambulizi ya anga ya Israel kwenye Ukanda wa Gaza yamesababisha takriban watu 77 kuuawa shahidi, ikiwa ni siku mbaya zaidi kwa Wapalestina tangu utawala katili wa Israel uanze tena mauaji yake ya kijinai na ya umati kwenye ukanda huo uliozingiwa kila upande.
-
Iran: Tumefanya mazungumzo mazuri na IAEA kuhusu nyuklia
Mar 18, 2025 02:13Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayehusika na masuala ya Sheria na ya Kimataifa amesema kuwa, mazungumzo yake na Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA, Rafael Mariano Grossi, yalikuwa ya wazi na ya maana.
-
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu: Bila shaka yoyote taifa la Yemen litaibuka mshindi
Mar 17, 2025 06:16Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amelipongeza taifa la Yemen kwa Muqawama wake wa kukabiliana na jinai za kinyama za utawala wa Marekani dhidi ya nchi hiyo na kusisitiza kuwa hakuna shaka yoyote taifa la Yemen litaibuka mshindi.
-
Iran: Marekani haina haki ya kutupangia tufuate siasa gani
Mar 16, 2025 06:06Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma ujumbe akisisitiza kuwa, Marekani haina haki ya kutupangia tufuate siasa gani za kigeni.