-
Upotoshaji mkubwa! Al Jazeera yaficha shukrani za msemaji wa Hamas kwa Iran
Jan 21, 2025 07:17Kitengo cha "habari za punde" cha televisheni ya Al Jazeera ya Qatar kwenye mitandao ya kijamii, katika hatua ya kushangaza, kimechuja shukrani zilizotolewa na Obaida, msemaji wa "Brigedi za Izzuddin al-Qassam," tawi la kijeshi la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) kwa Iran na Yemen.
-
Kama si Iran, nani atakayeunusuru ulimwengu na shari ya wazi na iliyojificha ya Israel?
Jan 10, 2025 07:28Kwa miaka mingi sasa Israel imekuwa ikitekeleza sera za ardhi iliyochomwa (scorched-earth policy) katika eneo la Asia Magharibi. Kuanzia mashambulizi yasiyosita katika Ukanda wa Gaza na mauaji ya kimbari ya raia wa Palestina hadi kuwauwa kigaidi wasomi wa nyuklia wa Iran na mashambulizi ya anga dhidi ya Syria, ni sehemu ya sera za Israel ambazo zimejikita katika kueneza vita na hali ya mchafukoge.
-
Kuna tofauti kubwa baina ya Mayahudi na Wazayuni (PICHA)
Oct 03, 2024 11:14Katika kujibu swali linalosema kuwa, je, kuna tofauti baina ya Mayahudi na Wazayuni, tunapenda kusema kwamba, naam, kuna tofauti kubwa baina ya makundi hayo mawili.
-
Uongo 10 unaoenezwa na Wazayuni kupotosha kadhia ya Palestina
Nov 01, 2023 10:48Wazayuni wanafanya propaganda kubwa kujaribu kupotosha fikra za walimwengu kuhusu jinai zao na kuhusu kadhia nzima ya Palestina.
-
Jinai za Wazayuni hazijawahi kushuhudiwa katika karne ya 21
Nov 01, 2023 10:30Wazayuni wameshambulia hospitali na kuua shahidi kwa umati na kwa mkupuo mmoja mamia ya Wapalestina.
-
Historia fupi ya Ukanda wa Ghaza
Nov 01, 2023 10:10Je, unaposikia Ukanda wa Ghaza unajua ni nini? Je umewahi kujiuliza kwa nini kwa zaidi ya miaka 75 sasa Wapalestina wanaendelea na mapambano hadi hivi sasa.