Jinai za Wazayuni hazijawahi kushuhudiwa katika karne ya 21
(last modified Wed, 01 Nov 2023 10:30:19 GMT )
Nov 01, 2023 10:30 UTC
  • Jinai za Wazayuni hazijawahi kushuhudiwa katika karne ya 21

Wazayuni wameshambulia hospitali na kuua shahidi kwa umati na kwa mkupuo mmoja mamia ya Wapalestina. 

Jinai  hiyo ni kubwa kiasi kwamba si rahisi kuificha. Wanachofanya Wazayuni sasa ni kujatibu kupapatua na hata kutaka kuonesha kuwa Wapalestina eti ndio walioripua hospitali yao hiyo. 
Maelezo zaidi yamo kwenye clip hiyo hapo juu.

Tafadhali jiunge na channel yetu ya Youtube: https://www.youtube.com/@iranradiosw

Channel yetu ya Telegram ni:  t.me/RadioTehranSW