-
Maziko ya mashahidi wa Muqawama yafikisha vilivyo ujumbe kwa walimwengu
Feb 25, 2025 06:14Wakati utawala wa Kizayuni na mabeberu wa dunia wanapowaua kigaidi viongozi wa Muqawama, huwa wanajidanganya kwamba wamepata ushindi. Hii ni kwa sababu maadui hao hawajua falsafa ya kuuawa shahidi katika njia ya Haki.
-
Kiongozi wa Mapinduzi: Muqawama wa kukabiliana na ughasibu, dhulma na uistikbari si wa kumalizika
Feb 24, 2025 05:12Ukurasa wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu wa lugha ya Kiibrania katika mtandao wa kijamii wa X umeandika, Muqawama wa kukabiliana na ughasibu, dhulma na uistikbari si wa kumalizika; na kwa idhini ya Allah utaendelea hadi ufikie lengo ulilokusudia".
-
"Hapana" ya watumiaji wa X wa Iran kwa ombi la Trump: Hatutazungumza na Marekani kwa sababu hatuiamini!
Feb 14, 2025 14:02Parstoday- Watumiaji wa Kiirani wa mtandao wa kijamii wa "X" wameitaja hatua ya Rais wa Marekani ya kujionyesha kuwa tayari kufanya mazungumzo na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuwa ni hadaa na udanganyifu mkubwa wa Washington.
-
"Tutayaunga mkono mapinduzi ya 1979 hadi pumzi ya mwisho"; dondoo za jumbe kutoka kwa watumiaji wa X kwenye maadhimisho ya Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran
Feb 14, 2025 13:18Parstoday: Watumiaji wa Kiirani wa mtandao wa kijamii wa X wameuchukulia ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu kuwa ni mafanikio makubwa ya taifa la Iran na wakasema: Mapinduzi ya Kiislamu yalikuwa ni alfajiri iliyoondoa pazia la giza Mashariki na Magharibi.
-
Watumiaji X katika kukabiliana na mpango wa kuikalia Gaza: Israel inaharibu, Trump anakalia kwa mabavu
Feb 11, 2025 16:09Watumiaji wa mtandao wa X wameuchukulia mpango wa Donald Trump, rais wa Marekani wa kuwahamisha watu wa Gaza kutoka Palestina, kama ishara tosha ya ukoloni mpya wa Marekani.
-
Wakati Kiongozi Muadhamu alipoonana na Jeshi la Anga maadhimisho ya Alfajiri Kumi 2025
Feb 07, 2025 07:32Sambamba na maadhimisho ya Alfajiri Kumi ya mwaka wa 46 wa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya nchini Iran, Imam Khamenei ameonana na kundi la maafisa wa Jeshi la Anga la Iran.
-
Imam Khamenei: Ardhi yote ya Palestina, kuanzia mtoni hadi baharini ni mali ya Wapalestina
Feb 06, 2025 13:25Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kkiislamu ya Iran amesema kuwa, ardhi yote ya Palestina, kuanzia mtoni hadi baharini ni mali ya Wapalestina.
-
Iran ina silaha ambazo adui hana taarifa nazo kabisa
Jan 13, 2025 06:57Kamanda mmoja wa ngazi za juu wa Jeshi la Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ina silaha ambazo hazijafichuliwa hadi sasa na wala adui hana taarifa zozote kuhusu silaha hizo.
-
Picha gani ni ya kweli?
Jan 06, 2025 13:45Parstoday- Mtumiaji wa mtandao wa kijamii wa X amefanya ulinganishaji kati ya filamu ya The Pianist (Mpiga Piano) na mandhari ya malalamiko na upinzani ya Mkuu wa Hospitali ya Kamal Adwan huko Gaza.
-
Maoni ya watumiaji mitando kuhusu matumizi ya picha ghushi za magereza ya Syria
Dec 15, 2024 12:26Picha inayohusiana na Jumba la Makumbusho la Vita vya Vietnam, ambayo katika siku za hivi karibuni inaenea katika mitandao ikihusishwa na gereza la Saydnaya nchini Syria.