-
Ni kitu gani vyombo vya habari vya Magharibi vinakiita "uhuru"?
Dec 10, 2024 12:36Parstoday- Mtumiaji wa Iran wa mtandao wa kijamii wa X ameashiria nafasi na mchango wa vyombo vya habari vya magharibi katika matukio ya Syria katika ujumbe wake na kukosoa utendaji wao wa kindumakuwili kuhusiana na mafuhumu na maana ya uhuru.
-
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Tehran: Syria ina machaguo matatu mbele yake
Dec 08, 2024 12:24Parstoday- Mhadhiri wa Chuo Kikuu na mwanaharakati wa kisiasa kwenye mtandao wa kijamii wa X ameashiria matukio ya hivi majuzi nchini Syria na kuusema: Kuna machaguo matatu kwa ajili ya mustakabali wa Syria.
-
Jeffrey Sachs: Marekani, Israel na Uturuki wanahusika na machafuko ya Syria
Dec 08, 2024 12:11Pars Today - Mchambuzi wa Marekani amesema kuwa, machafuko nchini Syria ni sehemu ya mpango wa pamoja wa Marekani, Israel na Uturuki.
-
Kiongozi Muadhamu: Hatima ya Israel ni kuondoka Asia Magharibi
Nov 28, 2024 13:38Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyyed Ali Khamenei amesisitiza kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel unaelekea kuondoka katika eneo la Asia Magharibi na kusisitiza kuwa, operesheni zinazoendelea za harakati za muqawama dhidi ya Israel haziwezi kusitishwa.
-
Kuanzia utekaji nyara hadi kuuawa watoto 17,000 na utawala wa Israel; ujumbe wa Twitter kuhusu Siku ya Kimataifa ya Watoto
Nov 20, 2024 11:42Parstoday- Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema kuwa, Ukanda wa Gaza umegeuka kuwa kaburi la watoto kutokana na mashambulizi ya mara kwa mara ya utawala unaofanya mauaji ya kimbari wa Israel.
-
Kuuawa Mohammad Afif; kukiri Israel kwamba nguvu ya vyombo vya habari vya Hizbullah ni 'chungu'
Nov 19, 2024 08:38Parstoday- Mtaalamu wa masuala ya kimataifa na mtumiaji wa mtandao wa kijamii wa X, ameitambua hatua ya utawala wa Kizayuni kumuua shahidi "Mohammed Afif Al Nabulsi" aliyekuwa Mkuu wa vyombo vya habari vya Hizbullah ya Lebanon, ni ishara ya kuwa chungu operesheni za vyombo vya habari vya Hizbullah dhidi ya utawala huo.
-
Radiamali ya Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Tehran kwa mashambulio ya Israel dhidi ya nyumba za Walebanon
Nov 19, 2024 06:33Pars Today- Mhadhiri mmoja wa Kiirani ameashiria mashambulizi ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya raia wa Gaza na Lebanon na kusema kuwa, vyombo vya habari vya Magharibi ni washirika wa mauaji haya ya kimbari.
-
Iran yaanza kuzipelekea vifaa vya tiba, nchi nane za Afrika + Picha
Nov 07, 2024 12:18Shirika la vifaa vya matibabu la Hilal Nyekundu la Iran lenye makao yake mkoani Al Borz, Alkhamisi, Nivemba 11, 2024 limeanza kuzipelekea vifaa vya tiba nchi nane tofauti za bara la Afrika.
-
Kwa mashinikizo ya Israel, X ilisimamisha akaunti ya Kiongozi Muadhamu na kuifungua baada ya malalamiko ya watumiaji
Oct 30, 2024 07:14Parstoday- Baada ya kupita saa 24 za kuisimamisha akaunti ya Ayatullah Ali Khamenei katika mtandao wa kijamii wa X, ambao zamani ulijulikana kama Twitter, imefungua akaunti hiyo ya lugha ya Kiebrania ya Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyyed Ali Khamenei.
-
"Alidhihiri katika kipindi sahihi cha historia" shahid Nasrullah kwa mtazamo wa watumiaji wa mtandao wa kijamii wa X
Oct 28, 2024 09:10Parstoday: Watumiaji wa mtandao wa kijamii wa X wametuma ujumbe mbalimbali kwenye mtandao huo kumsifu shahid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon.