-
Umoja wa Mataifa: Wayemeni milioni 17 wanakabiliwa na njaa kali
Nov 18, 2025 06:24Umoja wa Mataifa umetangaza katika ripoti yake ya hivi punde kwamba raia milioni 17 wa Yemen wanakabiliwa na njaa kali, na idadi hii inatarajiwa kuongezeka.
-
WHO yaonya kuhusu vifo vya wagonjwa huko Gaza
Nov 16, 2025 04:26Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa, kushindwa kupata vibali vya kuondoka mara moja kwa wagonjwa kutoka Gaza kumesababisha vifo vya wagonjwa 900 hadi sasa.
-
Umoja wa Mataifa waonya kuhusu kuongezeka kwa mgogoro wa kibinadamu nchini Sudan
Nov 16, 2025 04:22Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuhusu hali mbaya ya kibinadamu nchini Sudan, ukieleza kuwa watu wengi katika eneo hilo wanahitaji msaada wa haraka.
-
UNRWA: Israel inakiuka sheria za kimataifa kwa kuzuia misaada kwa Gaza
Nov 16, 2025 04:13Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) limekosoa kuendelea kuwekewa vikwazo vya misaada katika Ukanda wa Gaza na kueleza kuwa, utawala ghasibu wa Israel kama utawala unaoukalia kwa mabavu hautekelezi wajibu wake kwa mujibu wa sheria za kimataifa za kibinadamu.
-
Hamas yaonya kuhusu kuongezeka janga la kibinadamu Ukanda wa Gaza
Nov 16, 2025 02:45Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imeonya kuhusiana na kushadidi janga la kibinadamuu katika Ukanda wa Gaza.
-
Kikosi cha Wanamaji cha IRGC chakamata meli ya mafuta kusini mwa Makran kwa kukiuka taratibu
Nov 16, 2025 02:31Kikosi cha Wanamaji cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) limekamata meli ya mafuta katika pwani ya kusini ya Makran baada ya kupokea amri ya mahakama.
-
Al Burhan awataka Wasudan wote wabebe silaha dhidi ya RSF
Nov 15, 2025 04:23Mkuu w Jeshi la Sudan, Jenerali Abdel Fattah Al Burhan amemtaka kila Msudan abebe silaha kupambana na waasi wa RSF akisisitiza kwamba hakutakuwa na mapatano na waasi hao.
-
Rais wa Afrika Kusini: Kutohudhuria Marekani mkutano wa G20 ni hasara kwake
Nov 13, 2025 06:01Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini amesema kuwa, kikitisho cha Rais wa Marekani Donald Trump kwamba maafisa wa nchi yake hawatahudhuria mkutano wa G20 mjini Johannesburg ni hasara kwa Wamarekani.
-
Hizbullah: Mazungumzo na adui hayana maslahi na taifa
Nov 06, 2025 10:44Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imesitiza kuwa kufanya mazungumzo na adui si kwa maslahi yoyote ya kitaifa, na kubainisha kuwa baadhi walijaribu kukabidhi silaha za muqawama dhidi ya adui kama ushahidi wa nia njema ya Lebanon.
-
Ziara ya Gharibabadi nchini Saudi Arabia inalenga kuimarisha ushirikiano
Nov 06, 2025 10:31Naibu Waziri wa Sheria na Masuala ya Kimataifa wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesafiri hadi Saudi Arabia kwa ajenda ya kuimarisha ushirikiano.