Matukio
  • EID Gadir na Kumbukumbu ya Kuaga Dunia Imam Khomeini (Mwenyezi Mungu Amrehemu)

    EID Gadir na Kumbukumbu ya Kuaga Dunia Imam Khomeini (Mwenyezi Mungu Amrehemu)

    Jun 17, 2026 07:32

    Assalamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuh. Hamdu zote ni za Mwenyezi Mungu aliyetujaalia kuwa miongoni mwa wanaoshikamana na Wilaya ya Amirul Muuminin, Ali bin Abi Talib AS.

  • “Hormuz, Lango Takatifu”

    “Hormuz, Lango Takatifu”

    Jun 17, 2026 07:20

    Matumaini yangu mpenzi msikilizaji ni kuwa hujambo popote pale ulipo. Karibu kuwa pamoja nami katika makala yetu ya wiki hii yenye anuani: “Hormuz, Lango Takatifu”.

  • Almasi Zilizochongwa kwa Machozi ya Afrika-Sehemu ya Kwanza: Maumivu ya Ukoloni

    Almasi Zilizochongwa kwa Machozi ya Afrika-Sehemu ya Kwanza: Maumivu ya Ukoloni

    May 30, 2026 08:17

    Wapenzi wasikilizaji, Ukoloni wa karne ya kumi na tisa haukuwa wa kuhodhi ardhi tu za mataifa, bali ulikuwa mfumo na utaratibu maalumu ulioratibiwa kwa ajili ya kuuhamisha utajiri wa Afrika na kuupeleka Ulaya. Katika kipindi kilichojulikana kama “ Uvamizi wa Afrika”, Uingereza ilitumia nguvu zake za kiuchumi pamoja na makampuni binafsi kuanzisha ubeberu wa kimuundo na ulio endelevu wa kuzihodhi rasilimali za bara hilo.

  • Arsenal yatwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Uingereza baada ya Man City kulazimishwa sare na FC Bournemouth

    Arsenal yatwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Uingereza baada ya Man City kulazimishwa sare na FC Bournemouth

    May 20, 2026 03:56

    Hatimaye baada ya miaka 22 ya ukame, Arsenal au ukipenda waite The Gunners wametwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) msimu wa 2025-26 baada ya Man City kulazimishwa sare ya bao moja kwa moja na The Cherries ambao nao walikuwa wanafukuzia angalau alama moja ili wafaulu kushiriki kombe la Uefa Conference Cup msimu ujao.

  • Washington Katika Mkwamo

    Washington Katika Mkwamo

    May 15, 2026 07:40

    Jarida la Marekani la The Atlantic hivi karibuni lilichapisha ripoti iliyochunguza kwa mapana na marefu vipengele vya makabiliano ya kijeshi kati ya Marekani na Iran pamoja na athari zake. Ripoti hiyo inaonyesha kuwa, sera na hatua za Washington hadi sasa hazijawa na matokeo yaliyotarajiwa, na zimeisababishia Marekani vizuizi na changamoto kali.

  • Spoti, Feb 23

    Spoti, Feb 23

    Feb 23, 2026 04:43

    Huu ni mkusanyiko wa baadhi ya matukio muhimu ya michezo yaliyoshuhudiwa ndani ya siku saba zilizopita kitaifa, kieneo na kimataifa.

  • Ulimwengu wa Spoti, Feb 16

    Ulimwengu wa Spoti, Feb 16

    Feb 16, 2026 07:26

    Hujambo mpenzi mwanaspoti na karibu tuzamie baadhi ya matukio muhimu ya michezo yaliyoshuhudiwa ndani ya siku saba zilizopita katika pembe tofauti za dunia.

  • Ulimwengu wa Spoti, Feb 9

    Ulimwengu wa Spoti, Feb 9

    Feb 09, 2026 03:38

    Natumai hujambo msikilizaji mpenzi na karibu tutupie jicho matukio muhimu ya spoti yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita, kitaifa, kieneo na kimataifa.

  • Alfajiri Kumi- Sekta ya afya ya Iran kabla na baada ya Mapinduzi

    Alfajiri Kumi- Sekta ya afya ya Iran kabla na baada ya Mapinduzi

    Feb 05, 2026 11:20

    Hamjambo na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya vipindi maalumu vinavyokujieni kwa mnasaba wa siku hizi za maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran. Kipindi chetu kinazungumzia mafanikio ya Jamhuri ya Kiislamu katika sekta ya afya na ustawi wa jamii.