-
Ulimwengu wa Spoti, Apr 7
Apr 07, 2025 08:01Hujambo mskilizaji mpenzi mwanaspoti. Ufuatao ni mkusanyiko wa baadhi ya matukio muhimu ya michezo yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita katika pembe mbali mbali za dunia.
-
Siku mbaya zaidi: Israeli yaua karibu watu 80 wa Ghaza katika shambulio kwenye zahanati ya UN
Apr 03, 2025 14:26Wimbi jipya la mashambulizi ya anga ya Israel kwenye Ukanda wa Gaza yamesababisha takriban watu 77 kuuawa shahidi, ikiwa ni siku mbaya zaidi kwa Wapalestina tangu utawala katili wa Israel uanze tena mauaji yake ya kijinai na ya umati kwenye ukanda huo uliozingiwa kila upande.
-
Iran yazindua ‘Mji Mkubwa wa Makombora’ chini ya ardhi + Video
Mar 26, 2025 11:12Kikosi cha Anga cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) kimezindua “mji mkubwa wa makombora" ulioko chinia ya ardhi, ukiwa ni moja kati ya vituo vyake vingi vya aina hiyo.
-
Ulimwengu wa Spoti, Machi 10
Mar 10, 2025 05:24Hujambo mpenzi mwanaspoti na karibu tutupie jicho baadhi ya matukio muhimu ya spoti yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita, kitaifa, kieneo na kimataifa......
-
Ulimwengu wa Spoti, Machi 3
Mar 03, 2025 09:29Hujambo mpenzi mwanaspoti. Karibu tuangazie japo kwa mukhtasari baadhi ya matukio yaliyogonga vichwa vya habari katika viwanja na kumbi mbalimbali za michezo ndani ya wiki moja iliyopita...
-
Ulimwengu wa Spoti, Feb 24
Feb 24, 2025 06:02Hujambo msikilizaji mpenzi na hasa mfuatiliaji wa matukio ya spoti. Karibu tuangazie baadhi ya matukio makubwa ya michezo yaliyoshuhudiwa ndani ya siku zilizopita katika kona mbali mbali za dunia.....
-
Mwana wa Nasrullah asema siku ya Jumapili ya mazishi ya baba yake ni "Siku ya Kutangaza Msimamo"
Feb 22, 2025 06:07Sayyid Muhammad Mahdi Nasrullah, mwana wa Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon aliyeuawa shahidi amesema katika hotuba ya kuwatolea mwito watu kuhudhuria mazishi ya baba yake kwamba: "kushiriki katika mazishi ya Shahidi Sayyid Hassan Nasrullah kutakuwa ni kushiriki mtu katika siku ya kutangaza msimamo na kudhihirisha kivitendo mapenzi yake kwa Shahidi Nasrullah".
-
Kuwahamisha kwa nguvu Wapalestina; Jinai mpya dhidi ya Wapalestina
Feb 20, 2025 08:10Leo tutaangazia jinai mpya ya Wazayuni na washirika wao ya kutaka kuwahamisha kwa nguvu Wapalestina katika makazi na nchi yao.....
-
Deep Seek; Kuongezeka mchuano kati ya China na Marekani katika uga wa teknolojia
Feb 20, 2025 08:07Kuibuka na kupanuka kwa teknolojia ya hali ya juu katika nyanja mbalimbali, hasa katika uwanja wa akili mnemba (Artificial Intligence) kumesababisha mabadiliko makubwa duniani Katika miaka ya hivi karibuni.
-
Ulimwengu wa Spoti, Feb 17
Feb 17, 2025 06:36Hujambo mpenzi na ashiki wa spoti, natumai u mzima wa afya. Huu ni mkusanyiko wa baadhi ya matukio makubwa ya spoti yaliyoshuhudiwa ndani ya siku zilizopita, kitaifa, kieneo na kimataifa.