-
Kujiunga Wazungu na harakati ya kuisusia Israel; mabadiliko ya kweli au mashinikizo ya umma?
Nov 13, 2025 02:35Harakati ya kususia bidhaa za Israeli (BDS) inazidi kupata nguvu kote duniani, tena kwa kasi kubwa, na watu binafsi na taasisi mbalimbali kote ulimwenguni zinajiunga nayo kwa lengo la kuongeza mashinikizo kwa Israel. Katika uamuzi muhimu zaidi wa hivi karibuni, ni nchi ya Ulaya ya Uholanzi kutangaza kwamba inaandaa sheria ya kupiga marufuku kuingiza nchini humo bidhaa zinazozalishwa katika vitongoji haramu vya walowezi wa Kizayuni huko Palestina.
-
Gaza, miaka miwili katika moto na damu; kilio kisicho na majibu katika kimya cha dunia
Oct 17, 2025 02:14Mashambulio ya utawala ghasibu wa Israel katika Ukanda wa Gaza yamesababisha kuibuka migogoro 15 ya kimsingi kwa wakazi wa eneo hilo.
-
Pezeshkian: Marekani haiwezi kulikwamisha taifa la Iran katika jambo lolote + Picha
Mar 24, 2025 10:55Rais Masoud Pezeshkian amesema kwamba Marekani haiwezi kuiwamisha Iran katika jambo lake lolote lile iwapo taifa hili la Kiislamu litashikamana vilivyo na mafundisho ya Qur'ani na ya Uislamu.
-
Siku ya Wanawake; Iran yataka Israel itimuliwe UN + Picha
Mar 09, 2025 06:46Ofisi ya Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa imetaka utawala wa Kizayuni utimuliwe kutoka kwenye umoja huo kutokana na jinai kubwa unazofanya dhidi ya wananchi wa kawaida wa Palestina hasa wanawake na watoto wadogo.
-
Maziko ya mashahidi wa Muqawama yafikisha vilivyo ujumbe kwa walimwengu
Feb 25, 2025 06:14Wakati utawala wa Kizayuni na mabeberu wa dunia wanapowaua kigaidi viongozi wa Muqawama, huwa wanajidanganya kwamba wamepata ushindi. Hii ni kwa sababu maadui hao hawajua falsafa ya kuuawa shahidi katika njia ya Haki.
-
Wakati Kiongozi Muadhamu alipoonana na Jeshi la Anga maadhimisho ya Alfajiri Kumi 2025
Feb 07, 2025 07:32Sambamba na maadhimisho ya Alfajiri Kumi ya mwaka wa 46 wa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya nchini Iran, Imam Khamenei ameonana na kundi la maafisa wa Jeshi la Anga la Iran.
-
Iran yaanza kuzipelekea vifaa vya tiba, nchi nane za Afrika + Picha
Nov 07, 2024 12:18Shirika la vifaa vya matibabu la Hilal Nyekundu la Iran lenye makao yake mkoani Al Borz, Alkhamisi, Nivemba 11, 2024 limeanza kuzipelekea vifaa vya tiba nchi nane tofauti za bara la Afrika.
-
Walowezi sita wa Israel waangamizwa na makumi wajeruhiwa karibu na Tel Aviv + Video + Picha
Oct 28, 2024 02:56Takriban walowezi sita wa utawala wa Kizayuni wameangamizwa na makumi ya wengine wamejeruhiwa katika operesheni ya kulipiza kisasi ya lori kwenye kituo cha mabasi karibu na makutano ya barabara ya Glilot kaskazini mwa Tel Aviv. Eneo lilipotokea tukio hilo kitovu cha kibiashara cha mji mkuu huo wa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Kwa mara nyingine UK yatakiwa iache kuipa silaha Israel inayofanya jinai Ghaza na Lebanon + Picha
Oct 24, 2024 11:45Kwa mara nyingine tena waandamanaji waliomiminika mitaani huko Uingereza wameitaka nchi hiyo ya kifalme ambayo ni muungaji mkono mkubwa wa jinai za utawala wa Kizayuni, iache kuipa silaha Israel na isishiriki katika jinai zinazofanywa na dola hilo pandikizi hasa huko Ghaza na Lebanon.
-
Mamia ya watu wajitokeza kwenye maziko ya kamanda wa Muqawama, Mash-had Iran + Picha
Oct 16, 2024 11:29Mamia ya watu wa matabaka mbalimbali Jumanne, Oktoba 15, 2024 walijitokeza kwa wingi katika maziko ya kamanda wa Muqawama, shahidi Abbas Nilforoushan, mshauri wa ngazi za juu wa kijeshi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Lebanon ambaye aliuliwa kigaidi na Israel akiwa pamoja na Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Hizbullah ya nchi hiyo. Hapa chini tumeweka baadhi ya picha za maziko hayo.