-
Mazoezi ya pamoja ya kijeshi baina ya Iran na Oman katika Picha
Oct 10, 2024 15:40Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Oman zimefanya kwa mara ya kwanza kwa sura ya vikosi vitatu tofauti; mazoezi ya pamoja ya kijeshi katika eneo la Kaskazini mwa Bahari ya Hindi na Lango Bahari la Hormoz. Hizi hapa ni baadhi ya picha na video za luteka hiyo ya pamoja ya kijeshi.
-
Sala ya Ijumaa ya Kihistoria ya Tehran
Oct 09, 2024 11:40Umati mkubwa wa watu ulishiriki katika Sala ya Ijumaa ya kihistoria iliyosalishwa na Kiongozi Muadhamu tarehe 4 Oktoba 2024
-
Zawadi ya tunu ya HAMAS kwa Sayyid Hassan Nasrullah + VIDEO
Oct 04, 2024 07:59Brigedi za Izzuddin Qassam, Tawi la Kijeshi la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS zimesambaza mkanda wa video na ndani yake wanatangaza kuwa operesheni hiyo ni zawadi kwa shahid wa Muqawama, Sayyid Hassan Nasrullah. Mkanda huo unaonesha mtego kabambe waliowawekea wanajeshi katili wa Israel na vifaru na mabuldoza yao na namna vinavyoteketezwa kimoja baada ya kingine huko Khan Yunus, katika Ukanda wa Ghaza.
-
Vituo vya kijeshi vya Marekani Asia Magharibi na Duniani + PICHA
Oct 04, 2024 07:34Takwimu rasmi zinaonesha kuwa Marekani ina zaidi ya vituo 800 vya kijeshi katika zaidi ya nchi 70 duniani ambapo sehemu kubwa ya vituo na wanajeshi wake wapo katika eneo la Asia Magharibi (Mashariki ya Kati).
-
Kuna tofauti kubwa baina ya Mayahudi na Wazayuni (PICHA)
Oct 03, 2024 11:14Katika kujibu swali linalosema kuwa, je, kuna tofauti baina ya Mayahudi na Wazayuni, tunapenda kusema kwamba, naam, kuna tofauti kubwa baina ya makundi hayo mawili.
-
Wimbi la walowezi wa Kizayuni wanaokimbia Israel baada ya vipigo vya Iran (PICHA)
Oct 03, 2024 10:49Baada ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kutoa vipigo vikali vya makombora dhidi ya maeneo hassasi ya utawala wa Kizayuni, wimbi la kuakhirishwa safari za ndege za kuingia na kutoka Israel nalo limevunja rekodi huku idadi ya walowezi wa Kizayuni walioamua kukimbia Palestina ikiongezeka sana.
-
Video na Picha zinazohusiana na mashambulizi ya Iran dhidi ya Israel
Oct 02, 2024 10:14Shambulio halali kisheria la makombora lililofanywa na Iran kwa kulenga maeneo ya kijeshi ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel, na ambalo limetekelezwa kutokana na kuuawa shahidi viongozi wa Muqawama, limeibua wimbi kubwa la furaha na matumaini kwa wananchi wa eneo la Magharibi mwa Asia. Hapa chini tumeweka picha na video zinazohusiana na shambulio hilo lililopewa jina la Ahadi ya Kweli (2).
-
Wananchi wa mataifa ya eneo wafurahia na kupongeza shambulio la kijeshi la Iran dhidi ya Israel + Picha
Oct 02, 2024 08:56Shambulio halali kisheria la makombora lililofanywa na Iran kwa kulenga maeneo ya kijeshi ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel, na ambalo limetekelezwa kutokana na kuuawa shahidi viongozi wa Muqawama, limeibua wimbi kubwa la furaha na matumaini kwa wananchi wa eneo la Magharibi mwa Asia.
-
Waislamu wa Afrika Mashariki na Kati wanavyoshiki kwenye Arubaini ya Imam Husain AS nchini Iraq
Aug 25, 2024 12:28Waislamu wa Afrika Mashariki ya Kati wameonunga na maashiki wengine wa Imam Hussein AS kutoka kona zote za dunia kuwahudumia mazuwari na washiriki wa Arubaini ya Imam Husain AS huko Karbala.
-
Kiongozi Muadhamu asalisha Sala ya Maiti ya Ismail Haniyeh na mlinzi wake + VIDEO na PICHA
Aug 01, 2024 06:43Mapema leo Alkhamisi asubuhi, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesalisha umati mkubwa wa Waislamu waliojitokeza katika Sala ya Maiti ya Mkuu wa Tawi la Kijeshi la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS Ismail Haniyeh na mlinzi wake. Sala hiyo ya Maiti imesaliwa katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Tehran.