-
Uchaguzi wa 14 wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Jun 28, 2024 07:54Leo Ijumaa tarehe 28 Juni 2024, wananchi wa Iran wamejitokeza kwa mamilioni katika uchaguzi wa 14 wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ulioitishwa kabla ya wakati wakati kufuatia kufa shahidi Rais Ebrahim Raisi kwenye ajali ya helikopta.
-
Video na Picha za kombora la hypersonic la Yemen lililopiga meli ya Israel
Jun 27, 2024 06:26Vikosi vya Ulinzi vya Yemen vimesambaza video na picha zinazoonyesha kombora la balestiki la hypersonic la vikosi majeshi ya nchi hiyo lililotumika kupiga meli ya utawala wa Kizayuni katika Bahari Nyekundu au Bahari ya Sham.
-
Droni ya Hud-hud ya Hizbullah yazusha kiwewe katika safu za Wazayuni + Picha
Jun 23, 2024 10:54Ingawa vyombo vya habari vya serikali ya utawala wa Kizayuni vinapigana kufa na kupona kuchuja mno habari na kufifiliza athari za droni ya Hodhod ya Hizbullah ndani kabisa ya ardhi za Palestina zilizopachikwa jina bandia la Israel lakini vinashindwa kuficha athari zake kubwa ikiwa ni pamoja na kiwewe kilichowakumba viongozi wa Israel.
-
Le Monde: Ususiaji waziathiri vibaya bidhaa za Marekani
Jun 14, 2024 13:29Gazeti la Le Monde la Ufaransa limeripoti kwamba makampuni ya Marekani yako katika kipindi kigumu hivi sasa kwa kususiwa bidhaa zao kutokana na uungaji mkono wao kwa Israel.
-
Mwili wa shahidi Qassem Soleimani na ya mashahidi wenzake yasindikizwa na kuagwa Ahvaz na Mashhad + Video
Jan 05, 2020 15:40Mwili wa shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, kamanda wa kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu na ya mashahidi wenzake waliouliwa shahidi pamoja naye katika jinai ya kinyama iliyofanywa na majeshi ya kigaidi ya Marekani imesindikizwa na kuagwa leo katika mji mtakatifu wa Mashhad kaskazini mwa Iran na huko Ahvaz kusini mwa nchi.
-
Kuakisiwa gwaride la vikosi vya muqawama vya Palestina mjini Ghaza + Picha
Dec 16, 2018 11:08Bridegi za Izuddin Qassam, tawi la kijeshi la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS jana Jumamosi zilifanya gwaride kubwa lililofana la kijeshi katika Ukanda wa Ghaza.
-
Picha ya "Mpalestina Mlemavu Katika Maandamano Makubwa ya Kurejea" yashinda tuzo ya waandishi wa habari za vita
Oct 16, 2018 15:40Picha ya "Mpalestina Mlemavu Katika Maandamano Makubwa ya Kurejea" imeshinda tuzo ya Bayeux Calvados-Normandy kwa waandishi wa habari za vita.
-
Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Quds nchini Kenya 2018
Jun 09, 2018 13:08Siku ya Kimataifa ya Quds ni Ijumaa ya mwisho ya mwezi mtukufu wa Ramadhani. Mwaka huu imesadifiana na tarehe 8 Juni 2018 na imefanyika kwa kufana zaidi duniani kuliko miaka yote iliyopita. Hapa tumeweka baadhi ya picha za maandamano ya siku hiyo nchini Kenya.
-
Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Quds nchini Tanzania 2018
Jun 09, 2018 12:59Siku ya Kimataifa ya Quds ni Ijumaa ya mwisho ya mwezi mtukufu wa Ramadhani. Mwaka huu imesadifiana na tarehe 8 Juni 2018 na imefanyika kwa kufana zaidi duniani kuliko miaka yote iliyopita. Hapa tumeweka baadhi ya picha za maandamano ya siku hiyo nchini Tanzania.
-
Karbala wakati huu wa kukaribia Arubaini ya Imam Husain AS 1438 Hijria (2016)
Nov 09, 2016 09:17Picha mbalimbali za Waislamu na wapenzi wa Ahlul Bayt wa Bwana Mtume Muhammad SAW wakijiandaa kwa ajili ya Arubaini ya Imam Husain AS ambayo itasadifiana na tarehe 21 Novemba 2016 kwa mujibu wa kalenda ya Iraq.