-
Maisha ni matamu hata kwa wanyama
Jun 28, 2016 08:56Kila kiumbe kinapenda maisha yake. Mbuni huyu wa huko kusini mwa California nchini Marekani aliamua kutimua mbio kuokoa maisha yake baada ya kuona msitu anaoishi unateketea kwa moto.
-
Kisomo cha Qur'ani, Mash'had, Iran
Jun 28, 2016 08:51"Mwezi wa Ramadhani ambao imeteremshwa humo Qur'ani kuwa ni uwongofu kwa watu, na hoja zilizo wazi za uwongofu na upambanuzi." Kisomo cha Qur'ani tukufu katika Haram ya Imam Ridha AS, mjini Mash'had Iran. Kila siku inahitimishwa juzuu moja ya Qur'ani.
-
Ramadhani, mwezi wa Qur'ani
Jun 28, 2016 08:33Wanajeshi wanamaji wa Iran, wanaadhimisha nyakati za mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa ibada mbalimbali. Hizi ni baadhi ya picha za jalsa ya kusoma Qur'ani iliyohudhuriwa na Kamanda wa Jeshi la Wanamaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Admeli Habibullah Sayyari.
-
Wakati Rais wa nchi anapokula futari katika mstari wa mbele vitani
Jun 28, 2016 08:19Rais Bashar al Assad wa Syria hivi karibuni alikagua vikosi vya mstari wa mbele vya jeshi la nchi yake vinavyopambana na magaidi nje ya mji mkuu Damascus na kula futari nao. Hizi hapa baadhi ya picha hizo