Jun 28, 2024 07:54 UTC
  • Uchaguzi wa 14 wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran

Leo Ijumaa tarehe 28 Juni 2024, wananchi wa Iran wamejitokeza kwa mamilioni katika uchaguzi wa 14 wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ulioitishwa kabla ya wakati wakati kufuatia kufa shahidi Rais Ebrahim Raisi kwenye ajali ya helikopta.

Hapa chini tumeweka baadhi ya picha zinazoonesha wananchi wa Iran wakiwa katika vituo vya kupigia katika kona tofauti za Iran.

 

Tags