• Iran yaanza kuzipelekea vifaa vya tiba, nchi nane za Afrika + Picha

    Iran yaanza kuzipelekea vifaa vya tiba, nchi nane za Afrika + Picha

    Nov 07, 2024 12:18

    Shirika la vifaa vya matibabu la Hilal Nyekundu la Iran lenye makao yake mkoani Al Borz, Alkhamisi, Nivemba 11, 2024 limeanza kuzipelekea vifaa vya tiba nchi nane tofauti za bara la Afrika.

  • Walowezi sita wa Israel waangamizwa na makumi wajeruhiwa karibu na Tel Aviv + Video + Picha

    Walowezi sita wa Israel waangamizwa na makumi wajeruhiwa karibu na Tel Aviv + Video + Picha

    Oct 28, 2024 02:56

    Takriban walowezi sita wa utawala wa Kizayuni wameangamizwa na makumi ya wengine wamejeruhiwa katika operesheni ya kulipiza kisasi ya lori kwenye kituo cha mabasi karibu na makutano ya barabara ya Glilot kaskazini mwa Tel Aviv. Eneo lilipotokea tukio hilo kitovu cha kibiashara cha mji mkuu huo wa utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Kwa mara nyingine UK yatakiwa iache kuipa silaha Israel inayofanya jinai Ghaza na Lebanon + Picha

    Kwa mara nyingine UK yatakiwa iache kuipa silaha Israel inayofanya jinai Ghaza na Lebanon + Picha

    Oct 24, 2024 11:45

    Kwa mara nyingine tena waandamanaji waliomiminika mitaani huko Uingereza wameitaka nchi hiyo ya kifalme ambayo ni muungaji mkono mkubwa wa jinai za utawala wa Kizayuni, iache kuipa silaha Israel na isishiriki katika jinai zinazofanywa na dola hilo pandikizi hasa huko Ghaza na Lebanon.

  • Mamia ya watu wajitokeza kwenye maziko ya kamanda wa Muqawama, Mash-had Iran + Picha

    Mamia ya watu wajitokeza kwenye maziko ya kamanda wa Muqawama, Mash-had Iran + Picha

    Oct 16, 2024 11:29

    Mamia ya watu wa matabaka mbalimbali Jumanne, Oktoba 15, 2024 walijitokeza kwa wingi katika maziko ya kamanda wa Muqawama, shahidi Abbas Nilforoushan, mshauri wa ngazi za juu wa kijeshi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Lebanon ambaye aliuliwa kigaidi na Israel akiwa pamoja na Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Hizbullah ya nchi hiyo. Hapa chini tumeweka baadhi ya picha za maziko hayo.

  • Mazoezi ya pamoja ya kijeshi baina ya Iran na Oman katika Picha

    Mazoezi ya pamoja ya kijeshi baina ya Iran na Oman katika Picha

    Oct 10, 2024 15:40

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Oman zimefanya kwa mara ya kwanza kwa sura ya vikosi vitatu tofauti; mazoezi ya pamoja ya kijeshi katika eneo la Kaskazini mwa Bahari ya Hindi na Lango Bahari la Hormoz. Hizi hapa ni baadhi ya picha na video za luteka hiyo ya pamoja ya kijeshi.

  • Sala ya Ijumaa ya Kihistoria ya Tehran

    Sala ya Ijumaa ya Kihistoria ya Tehran

    Oct 09, 2024 11:40

    Umati mkubwa wa watu ulishiriki katika Sala ya Ijumaa ya kihistoria iliyosalishwa na Kiongozi Muadhamu tarehe 4 Oktoba 2024

  • Zawadi ya tunu ya HAMAS kwa Sayyid Hassan Nasrullah + VIDEO

    Zawadi ya tunu ya HAMAS kwa Sayyid Hassan Nasrullah + VIDEO

    Oct 04, 2024 07:59

    Brigedi za Izzuddin Qassam, Tawi la Kijeshi la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS zimesambaza mkanda wa video na ndani yake wanatangaza kuwa operesheni hiyo ni zawadi kwa shahid wa Muqawama, Sayyid Hassan Nasrullah. Mkanda huo unaonesha mtego kabambe waliowawekea wanajeshi katili wa Israel na vifaru na mabuldoza yao na namna vinavyoteketezwa kimoja baada ya kingine huko Khan Yunus, katika Ukanda wa Ghaza.

  • Vituo vya kijeshi vya Marekani Asia Magharibi na Duniani + PICHA

    Vituo vya kijeshi vya Marekani Asia Magharibi na Duniani + PICHA

    Oct 04, 2024 07:34

    Takwimu rasmi zinaonesha kuwa Marekani ina zaidi ya vituo 800 vya kijeshi katika zaidi ya nchi 70 duniani ambapo sehemu kubwa ya vituo na wanajeshi wake wapo katika eneo la Asia Magharibi (Mashariki ya Kati).

  • Kuna tofauti kubwa baina ya Mayahudi na Wazayuni (PICHA)

    Kuna tofauti kubwa baina ya Mayahudi na Wazayuni (PICHA)

    Oct 03, 2024 11:14

    Katika kujibu swali linalosema kuwa, je, kuna tofauti baina ya Mayahudi na Wazayuni, tunapenda kusema kwamba, naam, kuna tofauti kubwa baina ya makundi hayo mawili.

  • Wimbi la walowezi wa Kizayuni wanaokimbia Israel baada ya vipigo vya Iran (PICHA)

    Wimbi la walowezi wa Kizayuni wanaokimbia Israel baada ya vipigo vya Iran (PICHA)

    Oct 03, 2024 10:49

    Baada ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kutoa vipigo vikali vya makombora dhidi ya maeneo hassasi ya utawala wa Kizayuni, wimbi la kuakhirishwa safari za ndege za kuingia na kutoka Israel nalo limevunja rekodi huku idadi ya walowezi wa Kizayuni walioamua kukimbia Palestina ikiongezeka sana.