Rais Bashar al Assad wa Syria hivi karibuni alikagua vikosi vya mstari wa mbele vya jeshi la nchi yake vinavyopambana na magaidi nje ya mji mkuu Damascus na kula futari nao. Hizi hapa baadhi ya picha hizo