Oct 04, 2024 07:34 UTC
  • Vituo vya kijeshi vya Marekani Asia Magharibi na Duniani + PICHA

Takwimu rasmi zinaonesha kuwa Marekani ina zaidi ya vituo 800 vya kijeshi katika zaidi ya nchi 70 duniani ambapo sehemu kubwa ya vituo na wanajeshi wake wapo katika eneo la Asia Magharibi (Mashariki ya Kati).

Katika miongo ya hivi karibuni, Marekani imezidisha siasa zake za kibeberu za kuimarisha vikosi vyake vamizi katika kona mbalimbali za dunia. 

Lakini wachambuzi wa mambo wanasema kuwa, siasa hizo ni upanga wa ncha mbili kwani kutokana na kuweko kila sehemu wanajeshi na vituo vya kijeshi vya Marekani, wapinzani wa siasa na jinai za dola hilo la kibeberu hawapati tabu tena ya kuwafikia na kuwatia adabu wanajeshi hao.

Hapa chini tumeweka baadhi ya picha zinazoonesha maeneo mbalimbali ya kijeshi ya Marekani duniani hasa Asia Magharibi.

 

Tags