Video na Picha zinazohusiana na mashambulizi ya Iran dhidi ya Israel
(last modified 2024-10-02T10:14:43+00:00 )
Oct 02, 2024 10:14 UTC
  • Video na Picha zinazohusiana na mashambulizi ya Iran dhidi ya Israel

Shambulio halali kisheria la makombora lililofanywa na Iran kwa kulenga maeneo ya kijeshi ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel, na ambalo limetekelezwa kutokana na kuuawa shahidi viongozi wa Muqawama, limeibua wimbi kubwa la furaha na matumaini kwa wananchi wa eneo la Magharibi mwa Asia. Hapa chini tumeweka picha na video zinazohusiana na shambulio hilo lililopewa jina la Ahadi ya Kweli (2).

 Tunaanza na video

 

 

 

Picha

Hali si hali katika maeneo ya Wazayuni
Wananchi wa Iran wakisherehekea kipigo kilichotolewa na Jahuri ya Kiislamu dhidi ya Israel

 

Tags