-
Makundi ya Muqawama yalaani vikali jinai mpya za Marekani nchini Yemen
Mar 16, 2025 02:35Harakati mbalimbali za Muqawama zimelaani vikali kwa kauli moja jinai zinazoendelea kufanywa na Marekani na Uingereza dhidi ya Yemen, katika njama za Washington na London za kujaribu kuulinda utawala ghasibu wa Israel mbele ya operesheni za Sana’a zinazofanyika kama sehemu ya kuliunga mkono taifa madhlumu la Palestina.
-
Duru za Wazayuni: Hamas inajijenga upya kwa kasi kubwa
Mar 16, 2025 02:35Chombo komoja cha habari cha lugha ya Kiebrania kimezinukuu duru za usalama na kijasusi za Israel zikidai kuwa, kasi ya kujijenga upya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palesitna HAMAS kwa siku moja ni sawa na utendaji wa Israel kwa mwezi mzima.
-
Mwakilishi wa Palestina UN: Israel inaendeleza sera za mauaji ya kimbari
Mar 15, 2025 23:19Mwakilishi wa Kudumu wa Palestina katika Umoja wa Mataifa ametuma barua kwa maafisa wa kimataifa akikemea jinai zinazoendelea kufanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Paletina.
-
Hamas yalaani marufuku ya pamoja ya US na EU dhidi ya al Aqsa TV
Mar 15, 2025 11:07Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imelaani uamuzi uliochukuliwa na Marekani na Umoja wa Ulaya wa kupiga marufuku matangazo ya televisheni ya al Aqsa.
-
Waumini 80,000 wa Kipalestina washiriki Swala za Ijumaa katika Msikiti wa Al-Aqsa
Mar 15, 2025 08:58Waumini wapatao 80,000 wa Kipalestina walishiriki swala ya Ijumaa ya pili ya mwezi mtukufu wa Ramadhani katika Msikiti wa Al-Aqsa jijini Al Quds (Jerusalem) licha ya vizuizi vikali vilivyowekwa na Israel kuwazuia Waislamu kufika katika eneo hilo takatifu.
-
Associated: Marekani na Israel zilitaka kuwapa makazi wakazi wa Gaza katika nchi tatu za Kiafrika
Mar 14, 2025 22:55Shirika la habari la Associated Press limeripoti kuwa Marekani na Israel zilitoa pendekezo kwa maafisa wa nchi tatu za Afrika la kuwapa makazi Wapalestina kutoka Ukanda wa Gaza kwenye ardhi za nchi hizo.
-
Mustakbali uliogubikwa na kiza wa Syria; wafuasi wa al Julani wazidi kuua raia
Mar 14, 2025 04:45Shirika la kutetea haki za binadamu nchini Syria limeripoti habari ya kuuawa zaidi ya raia 1,383 wasio na hatia katika shambulio lililofanywa na magenge yenye mfungamano na watawala wa hivi sasa wa Syria kwenye maeneo ya Waislamu wa Kishia, magharibi mwa nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Ndege za Israel zashambulia viunga vya Damascus na kusonga mbele Quneitra
Mar 14, 2025 03:22Israel imefanya shambulizi la anga katika viunga vya Damascus huku vifaru vyake vikiendelea kusonga ndani zaidi ya eneo la kusini-magharibi la Quneitra, ikiwa ni sehemu ya uchokozi wake wa hivi karibuni dhidi ya Syria tangu kuondolewa kwa Rais Bashar al-Assad.
-
Taarifa ya UN: Israel imetenda Mauaji ya Kimbari Gaza
Mar 14, 2025 03:22Ripoti maalum ya Tume Huru ya Uchunguzi ya Umoja wa Mataifa imebaini kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel umetekeleza mauaji ya kimbari katika Ukanda wa Gaza kwa kuharibu kwa makusudi vituo vya huduma za afya ya uzazi wakati wa mashambulizi yake makali katika eneo hilo.
-
Yedioth Ahronoth: Kipindi cha fungate ya Trump na Netanyahu kimekwisha
Mar 13, 2025 06:58Gazeti la Kizayuni la Yedioth Ahronoth limeandika katika makala kwamba baraza la mawaziri la utawala huo linaloongozwa na Netanyahu limekuwa chini kabisa ya ajenda ya Marekani.