-
Utawala wa Israel wawazuia wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa kuingia Rafah
May 08, 2024 02:22Msemaji wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu amesema kuwa, utawala wa Kizayuni unawazuia wafanyakazi wa umoja huo kuingia katika kivuko cha Rafah, kusini mwa Ukanda wa Gaza.
-
Wapalestina 20 wauawa shahidi katika muendelezo wa unyama wa Wazayuni huko Gaza
May 07, 2024 08:05Wapalestina 20 wameuawa shahidi kutokana na mashambulizi ya kinyama ya utawala wa Kizayuni katika maeneo mbalimbali ya Ukanda wa Gaza.
-
UNRWA: Hatutaondoka Rafah hata kwa maafa yatakayosababishwa na uvamizi wa Israel
May 07, 2024 03:08Huku kukiwa na ripoti kwamba Wapalestina 100,00 wameamriwa kuhama Rafah kusini mwa Ukanda wa Ghaza kabla ya uvamizi wa kijeshi uliopangwa kufanywa na jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel, mashirika ya Umoja wa Mataifa yanayotoa huduma za kibinadamu yamesisitiza kuwa hayana nia ya kuondoka katika mji huo muhimu zaidi kwa mahitaji ya misaada ya kibinadamu.
-
Mpira katika uwanja wa Israel kuhusu kusitisha mapigano Gaza
May 07, 2024 02:50Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Hossein Amir-Abdollahian amesema mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, Ismail Haniyah amemfahamisha kuhusu jibu la Hamas kwa pendekezo la kusitisha mapigano katika Ukanda wa Gaza.
-
Ujumbe wa Umoja wa Ulaya wasema 'mifumo yenye nguvu zaidi' imeshindwa kukabiliana na Wayemen
May 06, 2024 08:39Kamanda wa operesheni za kikosi cha wanamaji cha Umoja wa Ulaya amekiri kuhusu uwezo mkubwa wa kijeshi wa Yemen katika eneo la Bahari Nyekundu.
-
Kambi ya Muqawama, ngao kuu ya kuzuia hujuma za utawala wa Kizayuni katika eneo
May 06, 2024 03:58Vikosi vya mapambano na Muqawama vya Bahrain vimefanikiwa kuvilenga vituo muhimu sana vya utawala wa Kizayuni wa Israel katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu zilizopachikwa jina bandia la Israel; na kwa kuungana na makundi mengine ya kambi ya Muqawama, kuwa sehemu ya ngao kuu ya kuzuia hujuma na uchokozi wa utawala huo ghasibu katika eneo.
-
Askari 3 wa Israel waangamizwa katika shambulio la HAMAS
May 06, 2024 03:42Wanajeshi watatu wa utawala wa Kizayuni wa Israel wameangamizwa katika shambulizi la ulipizaji kisasi lililofanywa na Mujahidina wa Brigedi za Izzuddin al-Qassam, tawi la kijeshi la Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS.
-
Kuanza awamu ya nne ya operesheni ya jeshi la Yemen dhidi ya meli zinazokwenda Israel
May 05, 2024 23:04Sambamba na maandamano ya wananchi wa Yemen katika miji tofauti ya nchi hiyo ya kuwaunga mkono watu wa Gaza, msemaji wa jeshi la Yemen ametangaza habari ya kuanza awamu ya nne ya operesheni za nchi hiyo kwa ajili ya kuwatetea wananchi wa Palestina na kusisitiza kuwa: Wigo wa mashambulizi ya Yemen yutapanuka kuanzia Bahari ya Mediterania hadi sehemu yoyote ambayo nchi hii inaweza kuzifikia meli zinazoelekea Palestina inayokaliwa kwa mabavu (Israel).
-
Kiongozi wa HAMAS: Makubaliano ya usitishaji vita lazima yakomeshe uchokozi wa utawala wa Israel
May 05, 2024 23:03Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesisitiza kuwa, harakati hiyo inataka kufikia makubaliano kamili na jumuishi ili kukomesha uchokozi wa utawala ghasibu wa Kizayuni.
-
Vyombo vya habari Iraq vimekatazwa kutumia jina 'Israel', vinauita 'Utawala wa Kizayuni'
May 05, 2024 23:01Vyombo vya habari vya Iraq vimeacha kutumia neno "Israel" kumaanisha utawala wa Tel Aviv na badala yake vinatumia msamiati "Utawala wa Kizayuni" katika hatua ya kuonyesha mshikamano na Wapalestina kwa miezi kadhaa sasa.