-
Rekodi za Israel: Asilimia 75 ya Wapalestina waliokamatwa Ukanda wa Gaza ni raia
Sep 04, 2025 22:50Takriban asilimia 75 ya Wapalestina waliokamatwa na majeshi ya Israel Ukanda wa Gaza ulio chini ya mzingiro ni raia. Hii ni kwa mujibu wa data za jeshi la Israel.
-
Kiongozi wa Ansarullah asikitishwa na baadhi ya nchi za Kiislamu kuwa watazamaji tu mbele ya jinai za Gaza
Sep 04, 2025 11:09Kiongozi wa harakati ya Ansarullah ya Yemen amezungumzia jinsi watu wa Yemen wanavyodhulumiwa licha ya kuendelea kusimama kidete dhidi ya utawala wa Kizayuni na kuashiria jinai za miaka miwili za utawala huo dhidi ya watu wa Gaza.
-
Smotrich atishia kufanya "mauaji ya halaiki" na kunyakuliwa kikamilifu Ukingo wa Magharibi
Sep 03, 2025 23:04Waziri wa Fedha wa Israel, Bezalel Smotrich, ameitishia Mamlaka ya Palestina kwa "maangamizi" na kusisitiza tena wito wake wa kunyakuliwa kikamilifu eneo la Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu.
-
Picha za satelaiti zinaonyesha, Israel inajenga kituo kipya cha silaha za nyuklia
Sep 03, 2025 23:03Wataalamu na wachambuzi wanaamini kuwa Israel inajenga kituo kipya cha kutengeneza silaha za nyuklia, kwa mujibu wa picha za satelaiti za ujenzi unaofanyika kwa siri karibu na kinu nyuklia cha Dimona.
-
‘Majibu ya awali’: Yemen yatekeleza mashambulizi ya makombora dhidi ya Tel Aviv, uwanja wa ndege wafungwa
Sep 03, 2025 09:19Jeshi la Yemen limetekeleza mashambulizi ya makombora dhidi ya Tel Aviv, hatua iliyosababisha kufungwa kwa Uwanja wa Ndege wa Ben Gurion na kuwalazimu Waisraeli kukimbilia usalama kwenye mahandaki.
-
UN: Israel imewadondoshea maguruneti askari wetu wa kulinda amani Lebanon
Sep 03, 2025 03:17Kikosi cha Mpito cha Umoja wa Mataifa cha Kulinda Amani nchini Lebanon (UNIFIL) kimesema kuwa ndege zisizo na rubani za Israel zilidondosha maguruneti manne karibu na kambi ya walinda amani waliokuwa wakifanya kazi ya kuondoa vizuizi vya barabarani Jumanne asubuhi.
-
Watoto 43,000 wa chini ya miaka mitano Gaza wanataabika kwa utapiamlo
Sep 02, 2025 23:05Wizara ya Afya ya Palestina katika Ukanda wa Gaza imetangaza kuwa, watoto 43,000 na wanawake 55,000 wajawazito na wanaonyonyesha katika Ukanda wa Gaza wanakabiliwa na utapiamlo.
-
Wazayuni wenye misimamo mikali wavamia msikiti wa al-Aqswa
Sep 02, 2025 23:04Walowezi wa Kizayuni wenye misimamo ya kufurutu ada wamevamia tena msikiti mtakatifu wa Al-Aqswa na kufanya vitendo vya kichochezi dhidi ya kibla hicho cha kwanza cha Waislamu.
-
Hatua za Israel dhidi ya Yemen na Gaza zimeakisiwa vipi miongoni mwa watu wa Afrika?
Sep 02, 2025 23:02Wananchi wa baadhi ya nchi za Kiafrika wamefanya maandamano makubwa kujibu jinai za Israel za kuishambulia Yemen na kuendelea jinai za utawala huo ghasibu dhidi ya Ukanda wa Gaza.
-
Ansarullah: Tunajiandaa kutoa majibu ya kushangaza kwa Israel baada ya kuuawa maafisa wa juu wa Yemen
Sep 02, 2025 07:54Harakati ya mapambano ya Yemen ya Ansarullahy imesema kuwa inajiandaa kutoa majibu ya kushangaza kwa utawala wa Israel katika kulipiza kisasa mauaji ya karibuni ya maafisa wa ngazi ya juu wa Yemen yaliyotekelezwa na utawala wa Kizayuni huko Sana'a mji mku wa Yemen.