-
Mufti wa Moscow: Kuingia waziri Mzayuni katika Msikiti wa Al-Aqsa ni hatua ya kichochezi
Aug 06, 2025 00:25Naibu Mkuu wa Idara ya Masuala ya Dini ya Kiislamu ya Russia kwa ajili ya Masuala ya Kimataifa na Hija na Mufti wa Mkoa wa Moscow amesema: Waislamu wa Russia wanaitambua hatua ya Itamar Ben-Gvir ya kuvamia na kuingia katika Msikiti wa Al-Aqsa kuwa ya kichochezi.
-
Rais wa Ireland aitaka UN kutumia sura ya 7 ya Mkataba wa umoja huo kuhitimisha mgogoro wa Gaza
Aug 05, 2025 11:01Rais Michael Daniel Higgins wa Ireland ameutaka Umoja wa Mataifa kutumia utaratibu wa Sura ya 7 ya Mkataba wa umoja huo dhidi ya Israel ili kukomesha mauaji ya kimbari yanayoendelea dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
Ripoti: Netanyahu ameamua Israel ivamie na kulikalia kwa mabavu eneo lote la ardhi ya Ghaza
Aug 05, 2025 04:17Vyombo vya habari vya Israel vimeripoti kuwa, waziri mkuu wa utawala huo haramu wa kizayuni Benjamin Netanyahu anatazamiwa kutangaza mipango ya kuukalia kwa mabavu kikamilifu Ukanda wa Ghaza.
-
Rais wa Lebanon ameahidi haki kutenda miaka mitano baada ya mlipuko wa Beirut
Aug 04, 2025 23:11Rais Joseph Aoun wa Lebanon ameahidi kuwa haki itatendeka bila ubaguzi. Rais wa Lebanon amebainisha haya kwa mnasaba wa kutimia mwaka wa tano tangu ulipotokea mlipuko mkubwa katika bandari ya Beirut nchini humo.
-
Vipi gharama za kijeshi zimeusukuma uchumi wa Israel katika ukingo wa shimo?
Aug 04, 2025 22:58Viashiria vya ukuaji wa uchumi wa utawala wa kizayuni wa Israel vinapungua, na inatarajiwa kwamba athari mbaya za vita vinavyoendelea vya Gaza na vita vya siku 12 dhidi ya Iran vitazidi kuwa na taathira hasi kwa mwenendo wa kiuchumi wa Israel katika nusu ya pili ya mwaka huu.
-
Wapalestina wasiopungua 94 wameuawa shahidi Gaza katika saa 24; 180 waaga dunia kwa njaa
Aug 04, 2025 07:10Vyombo vya habari vimetangaza kuwa Wapalestina wengine wasiopungua 23 wameuawa shahidi katika mashambulizi ya jeshi la utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza.
-
Jeshi la Yemen limeshambulia kwa droni maeneo matatu ya Israel katika kulipiza kisasi
Aug 04, 2025 04:08Vikosi vya ulinzi vya Yemen vimetekeleza operesheni kwa mafanikio kwa kuyalenga maeneo matatu ya kimkakati ndani kabisa ya ardhi zinazokaliwa kwa mabavu (Israel). Jeshi la Yemen limetekeleza oparesheni hiyo kwa kutumia ndege tatu zisizo na rubani ( droni).
-
Zaidi ya wahamiaji 50 wafariki dunia katika boti iliyozama pwani ya Yemen
Aug 03, 2025 23:27Zaidi ya wahamiaji 50 wamefariki dunia na wengine hawajulikani walipo baada ya boti iliyokuwa imebeba wahamiaji wa Kiafrika kuzama katika Bahari ya Arabia kwenye pwani ya Yemen.
-
Waziri Mkuu wa Pakistani: Ni haki ya Iran kuwa na nishati ya nyuklia kwa malengo ya amani
Aug 03, 2025 23:03Waziri Mkuu wa Pakistan Shehbaz Sharif amelaani uvamizi haramu wa Israel dhidi ya ardhi ya Iran, akithibitisha haki ya Iran ya kuwa na mpango wa amani wa nyuklia.
-
Kutambua rasmi nchi ya Palestina: Hatua ya Kibinadamu au Mbinu ya Kisiasa?
Aug 03, 2025 22:57Abdel Bari Atwan, mchambuzi mashuhuri katika ulimwengu wa Kiarabu anasema kuwa, mpango wa kulitambua taifa la Palestina ni hadaa nyingine ya watetezi na waungaji mkono wa utawala ghasibu wa Israel unaoukalia kwa mabavu Quds Tukufu.