-
Russia yapuuzilia mbali bwabwaja mpya za Marekani dhidi ya Iran
Jan 13, 2021 23:09Russia imekosoa vikali madai ya kipropaganda ya Marekani ya kujaribu kulifungamanisha kundi la kigaidi la al-Qaeda na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran pasi na kutoa ushahidi wowote.
-
Afisa wa Yemen; Saudi Arabia imekusudia kuukabidhi mkoa wa Abyan kwa magaidi wa al Qaida
Nov 21, 2020 08:31Gavana wa mkoa wa Abyan huko Yemen amesema kuwa Saudi Arabia inafanya kila inaloweza kuukabidhi mkoa wa Abyan kwa mtandao wa kigaidi wa al Qaida.
-
Iran yapuuzilia mbali madai ya kuuawa kinara wa al-Qaeda hapa nchini
Nov 14, 2020 04:48Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu Iran amekanusha vikali habari za kipropaganda zinazodai kuwa kiongozi wa ngazi za juu wa mtandao wa kigaidi wa al-Qaeda ameuawa hapa nchini.
-
Mahakama ya Marekani yataka kusailiwa maafisa wanne wa Saudi Arabia kwa kuhusika na mashambulizi ya Septemba 11
Sep 11, 2020 09:52Baada ya mashambulizi ya Septemba 11 mwaka 2001 Marekani ilijinadi kuwa kinara wa mapambano dhidi ya ugaidi duniani na ikachukua hatua ya kuzivamia nchi za Iraq na Afghanistan.
-
Jeshi la Yemen lamtia mbaroni kamanda mwandamizi wa al-Qaeda
Aug 30, 2020 06:40Vikosi vya Yemen vimetangaza habari ya kumtia nguvuni kamanda wa ngazi ya juu wa mtandao wa kigaidi wa al-Qaeda katika mji mkuu wa nchi hiyo ya Kiarabu, Sana'a.
-
Kiongozi wa kundi la al-Qaeda kaskazini mwa Afrika auawa nchini Mali
Jun 06, 2020 03:23Waziri wa Ulinzi wa Ufaransa ametangaza kuwa jeshi la nchi hiyo ya Ulaya limefanikiwa kumuua kiongozi wa mtandao wa kigaidi wa al-Qaeda katika eneo la Maghreb kaskazini mwa Afrika (Aqim) huko nchini Mali.
-
Al-Qaeda yakiri kuhusika na shambulizi la bomu lililoua 90 Somalia
Dec 31, 2019 04:08Kundi la kigaidi la al-Shabaab lililojitangaza kuwa ni sehemu ya mtandao wa kigaidi wa al-Qaida limekiri kuhusika na shambulizi la bomu lililotokea mwishoni mwa wiki katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu na kuua makumi ya watu na kujeruhi wengine wengi.
-
Uungaji mkono wa kila upande wa Marekani na Saudi Arabia kwa kundi la al-Qaeda
Feb 05, 2019 09:41Kanali ya televisheni ya CCN imetangaza katika ripoti yake kwamba, Saudi Arabia imekuwa ikilipatia kundi la kigaidi la al-Qaeda silaha ambazo Marekani imeupatia muungano wa Kiarabu katika vita dhidi ya Yemen.
-
Kiongozi wa kundi la kigaidi la al Qaida Libya aangamizwa
Jan 18, 2019 23:31Ripoiti kutoka Libya zinasema kuwa kinara wa kundi la kigaidi la al Qaida nchini humo ameuawa katika maeneo ya kusini mwa nchi hiyo.
-
Qatar yazishutumu Saudia, UAE kwa kushirikiana na magaidi wa al Qaeda nchini Yemen
Aug 31, 2018 02:02Balozi wa Qatar nchini Marekani amezishutumu Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kwa kuwa na ushirikiano wa siri na magaidi wa al-Qaeda nchini Yemen.