-
Mgombea uongozi wa chama cha UKIP ataka Hijabu ipigwe marufuku Uingereza
Aug 09, 2016 06:08Lisa Duffy, mmoja wa wagombea wa uongozi wa chama cha Uhuru cha Uingereza UKIP ametaka vazi la stara la Kiislamu la Hijabu lipigwe marufuku katika maeneo ya hadhara nchini humo.