-
Chanjo ya kula iliyotengezwa China yatoa tumaini la kudhibitiwa kikamilifu kirusi cha corona
Feb 26, 2020 09:23Wizara ya Afya ya China imetangaza kuwa, chanjo ya kula iliyotengezwa nchini humo imeongeza matumaini ya kudhibitiwa kikamilifu kirusi kipya cha corona cha COVID-19.
-
Naibu Waziri wa Afya wa Iran apatwa na Corona, asema nchi itashinda virusi hivyo wiki chache zijazo
Feb 25, 2020 12:18Naibu Waziri wa Afya wa Iran amethibitisha kuwa amepatwa na virusi vya Corona lakini amesisitiza kuwa, nchi hii itashinda janga la virusi hivyo wiki chache zijazo.
-
Safari ya Pompeo katika nchi kadhaa za Afrika na hamaniko la Marekani la kukabiliana na washindani wake
Feb 21, 2020 03:18Muelekeo wa madola ya Magharibi kuhusiana na bara la Afrika daima umekuwa wa kulikoloni, kulinyonya na kulipora utajiri wake bara hilo, pamoja na kuwakandamiza Waafrika wanaopigania nchi zo kuwa huru na kujitawala.
-
China mbioni kutibu wagonjwa wa COVID-19 (Corona), vitanda vya hospitali vyaongezwa
Feb 20, 2020 08:55China imetangaza kuwa inafanya juhudi zote kuwatibu wagonjwa wa homa ya COVID-19 inayosababishwa na virusi vya Corona katika mji wa Wuhan ambao ndio kitovu cha mlipuko wa virusi hivyo.
-
Kamisheni ya Afya ya China yaripoti vifo vipya 136 vya maambukizo ya Corona
Feb 20, 2020 00:54Kamisheni ya Afya ya Taifa ya China imetangaza habari ya kuaga dunia wagonjwa wapya 136 walioambukizwa virusi vya Corona nchini humo na hivyo kuifanya idadi kamili ya watu waliopoteza maisha kwa ugonjwa huo kufikia 2,004 kote nchini humo.
-
China yasisitiza kuwa serikali ya Marekani ni ya kijasusi
Feb 18, 2020 23:21Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China amesisitiza serikali ya Marekani imesimama katika msingi wa ujasusi wa kimtandao duniani.
-
Waliofariki kwa virusi vya Corona China wapindukia 1,523, Misri yathibitisha mwathirika wa kwanza Afrika
Feb 15, 2020 10:55Wizara ya Afya ya China imetangaza kuwa, idadi ya watu waliofariki dunia kwa maambukizi ya virusi vya corona nchini humo imefikia 1,523.
-
242 waaga dunia China kwa Corona katika siku moja, maafisa wa afya Wuhan wafutwa kazi kwa uzembe
Feb 13, 2020 08:36Idadi ya watu walioaga dunia kutokana na virusi vya Corona (COVID-19) nchini China imeongeza baada ya Jumatano ya jana kusajiliwa vifo vya wahanga 242 wa virusi hivyo katika siku moja tu katika mkoa wa Wuhan na maambikizi ya wengine elfu 15.
-
Corona yapewa jina jipya, walioaga dunia kwa virusi hivyo ni zaidi ya 1,100
Feb 12, 2020 04:21Idadi ya watu waliofariki dunia nchini China kutokana na ugonjwa unaosababishwa na virusi vya corona imepindukia 1,113 huku maafisa wa Shirika la Afya Duniani (WHO) wakitangaza kuwa, kiwango cha maambukizi mapya bado hakijapungua.
-
Waliofariki kwa virusi vya corona China wafikia 722, walioambukizwa waongezeka hadi 34,546
Feb 08, 2020 10:30Idadi ya watu walioaga dunia nchini China kwa ugonjwa unaosababishwa na kirusi cha corona imeongezeka na kufikia 722 na walioambukizwa kirusi hicho hadi kufikia leo ni watu 34,546.