-
Mtawala wa Dubai 'azongwa' kwenye mitaa ya London kwa kuhusika UAE katika vita vya Sudan
Aug 12, 2026 03:31Mtawala wa Dubai ambaye ni waziri mkuu wa Muungano wa Falme za Kiarabu, UAE amezongwa kwa maneno katika mitaa ya katikati mwa mji mkuu wa Uingereza, London kuhusiana na ushiriki wa nchi yake katika vita vya ndani nchini Sudan.
-
Transparency International: Dubai ni maficho ya wahalifu na watakasishaji wa fedha chafu
Feb 01, 2019 04:41Jumuiya ya kimataifa ya kupambana na ufisadi ya Transparency International imesema kuwa, Dubai huko katika Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) imekuwa maficho salama ya watakasishaji wa fedha chafu duniani kiasi kwamba, mafisadi na wahalifu wengine wanaweza kununua majumba ya kifahari katika eneo hilo bila ya kizuizi chochote.
-
Ndege ya Dubai yaanguka Russia, 62 wafariki
Mar 19, 2016 00:01Watu 62 wamefariki dunia mapema leo baada ya ndege ya abiria ya Shirika la Fly Dubai kuanguka wakati ikijaribu kutua katika mji wa Rostov-on-Don kusini mwa Russia karibu na mpaya wa nchi hiyo na Ukraine.