-
Nchi nne wanachama wa EU zataka fedha za Russia zilizozuiliwa zitumike kuijenga upya Ukraine
May 24, 2022 07:48Nchi nne wanachama wa Umoja wa Ulaya (EU) zinatazamiwa kuwasilisha rasmi katika umoja huo barua ya kutaka mali na fedha za Russia zilizozuiliwa na EU zitumiwe kuijenga upya Ukraine baada ya kumalizika vita.
-
Nchi za Ulaya zaendelea kuondoa wanajeshi wao 'vamizi' Mali
Feb 16, 2022 02:39Waziri wa Ulinzi wa Estonia amesema nchi hiyo ya kaskazini mwa Ulaya imekata shauri ya kuwaondoa wanajeshi wake nchini Mali, na hivyo kuwa nchi ya hivi punde zaidi ya Ulaya kuchukua hatua hiyo baada ya Denmark.
-
Rais Rouhani asisitiza irada imara kukabiliana na ugaidi
Apr 11, 2016 04:46Rais Hassan Rouhani wa Iran kwa mara nyingine tena ametoa wito wa kuchukuliwa hatua za pamoja kukabiliana na makundi ya kigaidi.