-
Joto kali laua makumi ya watu mashariki mwa Canada
Jul 07, 2018 02:42Wimbi la joto kali ambalo halijawahi kushuhudiwa limesababisha vifo vya watu 33 katika mkoa wa Quebec mashariki mwa Canada.
-
Ripoti: Watoto karibu milioni 2 wanakufa kila mwaka kwa kuvuta hewa chafu
Mar 11, 2017 02:32Kwa akali watoto milioni 1.7 wanapoteza maisha kila mwaka kutokana na kuvuta hewa chafu kote duniani.
-
Joto kali katika siku ya Hali ya Hewa Dunaini
Mar 22, 2016 07:51Leo, ikiwa ni Siku ya Kimataifa ya Hali ya Hewa, kumetolewa tahadhari ya joto kali katika eneo la Pwani ya Afrika Mashariki huku Shirika la Hali ya Hewa Duniani likibainisha wasiwasi wake kutokana na kuongezeka joto katika sayari ya dunia.