-
Hamas: Kujiuzulu kamanda wa makomandoo wa Israel ni ishara ya nguvu ya Wapalestina
Feb 20, 2019 04:36Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema kujiuzulu kamanda wa vikosi maalumu vya makomandoo wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel baada ya kushindwa na Wapalestina katika oparesheni ya Khan Yunus ni ishara ya nguvu kubwa za harakati za kupigania ukombozi Palestina au muqawama na kusambaratika mahesabu ya wakuu wa utawala wa Kizayuni.
-
Mpalestina afa shahidi gerezani Israel baada ya kunyimwa matibabu
Feb 07, 2019 03:51Mfungwa Mpalestina amekufa shahidi akiwa katika gereza la utawala wa Kizayuni wa Israel baada ya kunyimwa matibabu.
-
HAMAS yakaribisha kufanyika uchaguzi mkuu wa Palestina katika ngazi zote
Jan 26, 2019 23:07Mjumbe mwandamizi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesisitizia kufanyika uchaguzi wa Palestina katika ngazi zote ukiwemo wa Bunge, Rais wa Mamlaka ya Ndani na Baraza la Taifa.
-
HAMAS yasisitizia kuundwa muungano wa nchi zinazoihami Palestina
Jan 18, 2019 00:24Mahmoud Az-Zahar, mjumbe wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema, adui wa Lebanon, Syria na Gaza ni utawala ghasibu wa Kizayuni tu; na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni muungaji mkono wa wanamapambano wa muqawama.
-
Hamas yasifu msimamo wa Malaysia wa kupinga kuhuisha uhusiano na adui Mzayuni
Jan 17, 2019 04:32Mwakilishi wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amepongeza msimamo wa Malaysia wa kupinga njia zote za kuhuisha uhusiano kati ya nchi hiyo na utawala wa Israel unaoikalia Quds kwa mabavu.
-
Ujumbe wa HAMAS wakutana na viongozi wa Kanisa la Othodoksi katika Ukanda wa Gaza
Jan 09, 2019 23:19Ujumbe wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS ukiongozwa na Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya harakati hiyo umeonana na viongozi wa Kanisa la Othodoksi katika Ukanda wa Gaza.
-
Zarif: Kuiunga mkono Palestina ni katika siasa kuu za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Dec 23, 2018 11:51Waziri wa Mambo ya Nje Mohammad Javad Zarif amesema: Kuiunga mkono Palestina ni katika siasa kuu na za msingi za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Hamas yalaani azma ya Abbas ya kulivunja Bunge la Palestina
Dec 23, 2018 03:47Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (Hamas) imekosoa vikali mpango wa Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina, Mahoud Abbas wa kulivunja Bunge, ikisisitiza kuwa kitendo hicho hakitakuwa na matokeo mengine ghairi ya kushadidisha migawanyiko miongoni mwa makundi ya Palestina.
-
Palestina yazitaka nchi za Kiarabu na Kiislamu zikate uhusiano wao na Australia
Dec 19, 2018 11:47Mamlaka ya Ndani ya Palestina imekataa msaada wa dola milioni 10 iliyopatiwa na Australia na kuzitaka nchi za Kiarabu na Kiislamu zikate uhusiano wao na nchi hiyo kutokana na uamuzi wake wa kuitambua Quds kama mji mkuu wa utawala haramu wa Israel.
-
Hamas: Kushiriki kwa wingi Wapalestina katika maadhimisho ya kuasisiwa harakati hiyo ni ishara ya kuungwa mkono muqawama
Dec 17, 2018 04:52Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (Hamas) imesisitiza kuwa, kushiriki kwa wingi mamia ya maelfu ya watu katika maadhimisho ya mwaka wa 31 tangu kuasisiwa harakati hiyo ni ishara mpya ya uungaji mkono wa wananchi wa Palestina kwa mapambano ya ukombozi dhidi ya Wazayuni maghasibu.