-
Maandamano ya kuwaunga mkono watu wanaodhulumiwa wa Yemen yafanyika nchini Iran
Jan 28, 2022 23:29Maelfu ya wananchi katika miji mingi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wameshiriki katika maandamano ya kuunga mkono taifa linalodhulumiwa la Yemen na kulaani jinai zinazotendwa na muungano vamizi unaoongozwa na Saudia dhidi ya taifa hilo.
-
Umuhimu wa safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar mjini Tehran
Jan 28, 2022 04:54Mohammed bin Abdulrahman Al-Thani, Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar ambaye pia ni Naibu Waziri Mkuu wa nchi hiyo siku ya Alhamisi alifanya ziara mjini Tehran ambapo alionana na kuzungumza na waziri mwenzake wa Mambo ya Nje wa Iran Hussein Amir Abdollahian.
-
Iran yajibu uropokaji wa Uingereza kuhusu mazungumzo ya JCPOA
Jan 27, 2022 04:29Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa vikali bwabwaja mpya zilizotolewa na Uingereza juu ya mazungumzo ya kufufua makubaliano ya nyuklia ya JCPOA yanayoendelea huko Vienna, Austria.
-
Mazungumzo ya Vienna; ufunguo wa makubaliano yoyote ni kuondolewa vikwazo vya kidhalimu dhidi ya taifa la Iran
Jan 26, 2022 23:05Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Sayyid Ebrahim Raisi ameeleza kuwa, ufunguo wa mapatano yoyote ya kuhuisha mapatano ya nyuklia ya JCPOA ni kuondolewa vikwazo vya kidhalimu dhidi ya wananchi wa Iran.
-
Iran: Hatujaamua kufanya mazungumzo ya moja kwa moja na Marekani
Jan 25, 2022 04:35Waziri wa Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu haijafikia uamuzi wa kufanya mazungumzo ya moja kwa moja na Marekani.
-
Mwakilishi wa Iran UN asifu maendeleo 'muhimu' ya kuwawezesha wanawake nchini licha ya vikwazo vya Marekani
Jan 19, 2022 07:16Iran imepongeza mafanikio makubwa yaliyopatikana hapa nchini katika kuwawezesha wanawake na wasichana, licha ya vikwazo vya Marekani vilivyo kinyume cha sheria na vya kinyama vinavyolenga nchi hiyo.
-
Kuanza kupelekwa barani Ulaya huduma za nishati za Iran
Jan 18, 2022 04:38Kufuatia kutiwa saini hati ya mapatano kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Romania kwa ajili ya kupelekwa nchini humo huduma za kiufundi za Iran katika sekta ya gesi, kwa mara ya kwanza Iran imejiunga na nchi zinazouza barani Ulaya huduma za nishati.
-
Benki ya Dunia: Uchumi wa Iran ulistawi kwa asilimia 3.1 mwaka 2021
Jan 17, 2022 04:33Benki ya Dunia imesema uchumi wa Iran ulistawi kwa asilimia 3.1 mwaka 2021 na hivyo kupiga hatua zaidi ya utabiri wa benki hiyo ambayo ilikuwa imetabiri Juni mwaka jana kuwa ustawi huo ungekuwa kwa asilimia moja.
-
Kamanda: Usalama wa Iran ni mstari mwekundu wa vikosi vya ulinzi
Jan 16, 2022 04:32Naibu Kamanda wa Kikosi cha Ulinzi wa Anga cha Jeshi la Iran amesema usalama wa taifa hili ni mstari mwekundu wa vikosi vyote vya ulinzi na usalama vya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Rais wa Iran alegeza baadhi ya masharti ya kukabiliana na Corona, huku vifo vikipungua
Jan 16, 2022 00:02Rais Ebrahim Raisi wa Iran ameruhusu kuondolewa baadhi ya masharti na vikwazo vilivyokuwa vimetangazwa hapa nchini kwa lengo la kupambana na msambao wa ugonjwa wa Covid-19, huku idadi ya maambukizi na vifo vinavyotokana na maradhi hayo ikiendelea kupungua.