-
Araghchi: Iran, US kufanya mazungumzo ya nyuklia Muscat
Feb 04, 2026 23:26Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi ametangaza kwamba mazungumzo ya nyuklia kati ya Jamhuri ya Kiislamu na Marekani yanatazamiwa kufanyika katika mji mkuu wa Oman, Muscat kesho asubuhi.
-
Jalali: Madai ya Trump kwamba anawaunga mkono Wairani hayana msingi
Feb 04, 2026 07:25Balozi wa Iran nchini Russia, Kazem Jalali amepuuzilia mbali matamshi ya hivi karibuni ya Rais wa Marekani Donald Trump akidai kuwa analiunga mkono na kulisaidia taifa la Iran, akisisitiza kuwa madai hayo hayana msingi wowote.
-
Droni ya upelelezi ya Iran yakamilisha kazi yake kwa mafanikio katika maji ya kimataifa
Feb 04, 2026 04:03Droni ya doria na ya intelijinsia ya vikosi vya ulinzi vya Iran imefanikiwa kukamilisha kwa mafanikio operesheni yake katika maji ya kimataifa huku ripoti zikiarifu kuwa askari wa Marekani wameitungua ndege moja isiyo na rubani sawa na hiyo.
-
Kwa nini Marekani inafuatilia sera ya "mazungumzo na vitisho kwa wakati mmoja" dhidi ya Iran?
Feb 03, 2026 07:49Utawala wa Rais Donal Trump wa Marekani umekuwa ukifuatiilia sera ya "mazungumzo na vitisho" kwa wakati mmoja dhidi ya Iran.
-
Shamkhani: Mazungumzo ya Marekani yanaweza kuzaa matunda iwapo tu yataonyesha heshima, mantiki
Feb 03, 2026 04:40Afisa wa ngazi ya juu wa Iran amesema kuwa mazungumzo yajayo ya nyuklia na Marekani yanaweza kuwa na tija iwapo tu yatajiepusha na anga ya vitisho na madai yasiyo na mantiki, na kusisitiza kuwa Tehran haina nia ya kuhamisha nje ya nchi akiba yake ya urani iliyorutubishwa chini ya makubaliano yoyote.
-
Ripoti: Iran, Marekani kufanya mazungumzo ya nyuklia mjini Istanbul
Feb 03, 2026 04:23Iran na Marekani zinapanga kufanya duru mpya ya mazungumzo kuhusu mpango wa nyuklia wa Tehran.
-
'Hakuna Mmarekani atakayesalimika’: Mkuu wa Majeshi ya Iran asema vikosi vya jeshi viko tayari kulipiza kisasi
Feb 03, 2026 00:20Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameonya kuwa mahesabu yoyote ghalati ya maadui wa Jamhuri ya Kiislamu yatakabiliwa na jibu kali. Amesema kuwa Iran imejiandaa kikamilifu kwa makabiliano na kulipiza kisasi.
-
Pompeo aanika nafasi ya US katika ghasia za karibuni nchini Iran
Feb 02, 2026 23:41Mkurugenzi wa zamani wa Shirika la Ujasusi la Marekani CIA, Mike Pompeo, amekiri kwamba, Washington ilikuwa na mchango wa moja kwa moja katika ghasia za hivi karibuni nchini Iran, akisema Marekani "iliwasaidia moja kwa moja" wafanya fujo.
-
Iran yatahadharisha: Uvamizi wowote utakuwa na madhara makubwa kwa eneo zima la Asia Magharibi
Feb 02, 2026 10:35Iran imesema kuwa nchi za kikanda zinafanya juhudi za pamoja ili kuzuia vita kwa vile zinaelewa vyema kwamba hatua yoyote ya kijuba dhidi ya Tehran itakuwa na madhara makubwa kwa eneo zima.
-
Iran yatambua majeshi ya Ulaya kama mashirika ya kigaidi
Feb 01, 2026 06:51Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran), Mohamad Bagher Ghalibaf amelitaja Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) kama taasisi ya kipekee zaidi ya kupambana na ugaidi duniani, akibainisha kuwa Ulaya 'imejipiga risasi mguuni' kwa kuiweka IRGC kwenye orodha yake nyeusi.