-
Iran na Pakistan kuimarisha ushirikiano dhidi ya ugaidi
Mar 26, 2016 03:37Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza umuhimu wa kuimarishwa ushirikiano kati ya Tehran na Islamabad katika nyuga mbalimbali hususan katika vita dhidi ya ugaidi.
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza umuhimu wa kuimarishwa ushirikiano kati ya Tehran na Islamabad katika nyuga mbalimbali hususan katika vita dhidi ya ugaidi.