Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • Baraza la Waislamu Ufaransa latoa wito wa kufanyika uchunguzi kuhusu ujasusi dhidi ya Waislamu kwa niaba ya Israel

    Baraza la Waislamu Ufaransa latoa wito wa kufanyika uchunguzi kuhusu ujasusi dhidi ya Waislamu kwa niaba ya Israel

    Nov 28, 2025 23:54

    Baraza la Waislamu la Ufaransa limetoa wito kwa serikali kuanzisha uchunguzi kuhusu madai kwamba watu wawili walikusanya taarifa kuhusu Waislamu nchini Ufaransa na kuzikabidhi kwa shirika la ujasusi la Israel.

  • Israel yatumia mfumo wa akili mnemba (AI) kufuatilia mitandao ya kijamii ya wanajeshi, ili kuzuia ushahidi wa uhalifu wa kivita

    Israel yatumia mfumo wa akili mnemba (AI) kufuatilia mitandao ya kijamii ya wanajeshi, ili kuzuia ushahidi wa uhalifu wa kivita

    Nov 27, 2025 23:29

    Jeshi la Israel limezindua mradi mkubwa wa akili mnemba (AI), unaojulikana kama Morpheus, ili kuzuia askari wake kuchapisha ushahidi wa uhalifu wa kivita uliofanyika huko Gaza kwenye mitandao ya kijamii.

  • Ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa kuhusu vita vya Gaza; athari za kutisha za jinai za Israel

    Ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa kuhusu vita vya Gaza; athari za kutisha za jinai za Israel

    Nov 27, 2025 06:47

    Ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa imefichua vipengele vipya vya athari za kutisha za vita vya Gaza. Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa vita vya utawala wa Kizayuni huko Gaza vimeunda shimo la kutisha na kwamba ujenzi mpya wa ukanda huu utahitaji kwa uchache dola bilioni 70 na muda wa miongo kadhaa, takwimu zinazodhihirisha wazi kina cha janga hili.

  • Haaretz: Netanyahu amepelekea Israel kushindwa katika pande zote, hususan dhidi ya Iran

    Haaretz: Netanyahu amepelekea Israel kushindwa katika pande zote, hususan dhidi ya Iran

    Nov 26, 2025 08:48

    "Sera za waziri mkuu Benjamin Netanyahu zimepelekea kushindwa Israel katika pande zote za kidiplomasia, kijeshi, na kimkakati, hususan dhidi ya Iran". Hayo ni kwa mujibu wa Haaretz, gazeti la Israel linalochapishwa kwa lugha ya Kiebrania.

  • Mvutano mkali ulitawala mazungumzo ya Trump na Bin Salman kuhusu kuanzisha uhusiano na Israel

    Mvutano mkali ulitawala mazungumzo ya Trump na Bin Salman kuhusu kuanzisha uhusiano na Israel

    Nov 26, 2025 08:14

    Duru zenye taarifa zimedokeza kuwa, mkutano kati ya Rais wa Marekani Donald Trump na Mwanamfalme wa Saudi Arabia Mohammed bin Salman uliofanyika wiki iliyopita katika Ikulu wa White House ulishuhudia mvutano wa dhahiri kwa sababu Trump aliishinikiza Riyadh ijiunge na Mkataba wa Abraham, wa kuanzisha uhusiano rasmi na utawala wa kizayuni wa Israel.

  • Caracas yamhutubu waziri wa Israel: Jina Venezuela ni kubwa, haliwezi kutamkwa na kinywa chako kichafu

    Caracas yamhutubu waziri wa Israel: Jina Venezuela ni kubwa, haliwezi kutamkwa na kinywa chako kichafu

    Nov 25, 2025 23:32

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Venezuela ametumia lugha kali kujibu tuhuma za waziri wa mambo ya nje wa utawala wa kizayuni wa Israel dhidi ya Caracas, kwa kumwita waziri huyo "mhalifu wa kivita" ambaye iwe sasa hivi au baadaye lazima akawajibishwe mbele ya vyombo vya haki na sheria vya kimataifa.

  • Kwa nini mkataba wa gesi kati ya Israel na Misri unakaribia kusambaratika?

    Kwa nini mkataba wa gesi kati ya Israel na Misri unakaribia kusambaratika?

    Nov 25, 2025 06:52

    Hitilafu za kisiasa na kiusalama kati ya utawala ghasibu wa Israel na Misri zimechukua zimefikia katika uga wa kiuchumi, na sasa zimefikisha mkataba mkubwa zaidi wa gesi kati ya Tel Aviv na Cairo kwenye ukingo wa kusambaratika.

  • Marekani yabatilisha viza ya waziri wa zamani wa Afrika Kusini aliyefanikisha kesi ya ICJ dhidi ya Israel

    Marekani yabatilisha viza ya waziri wa zamani wa Afrika Kusini aliyefanikisha kesi ya ICJ dhidi ya Israel

    Nov 23, 2025 03:31

    Marekani imefuta viza ya waziri wa zamani wa Mahusiano ya Kimataifa wa Afrika Kusini Naledi Pandor mapema wiki hii, katika kile kinachoonekana kama hatua za hivi karibuni za Washington za kuiadhibu Pretoria kwa sababu kuuburuza utawala wa kizayuni wa Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) kwa mauaji ya kimbari uliyofanya dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza.

  • Sababu za Ripota wa UN za kuonya kuhusu kuendelea Ulaya kuipa silaha Israel

    Sababu za Ripota wa UN za kuonya kuhusu kuendelea Ulaya kuipa silaha Israel

    Nov 21, 2025 22:54

    Umoja wa Mataifa umeonya kuhusu kuendelea nchi za Ulaya kuisheheneza silaha Israel licha ya kwamba kuna ushahidi wa kutosha na usiopingika wa jinsi utawala wa Kizayuni unavyotumia silaha hizo kufanya jinai na mauaji ya umati dhidi ya watu wasio na hatia.

  • Israel yafanya mashambulio ya kinyama Ghaza, yaua Wapalestina 28 na kujeruhi 77

    Israel yafanya mashambulio ya kinyama Ghaza, yaua Wapalestina 28 na kujeruhi 77

    Nov 20, 2025 02:39

    Wapalestina wasiopunguua 28 wameuawa shahidi katika wimbi jipya la mashambulizi ya kinyama yanayofanywa na jeshi la utawala wa kizayuni wa Israel kwenye Ukanda wa Ghaza, yakiwa ni moja ya ukiukaji mkubwa zaidi wa makubaliano ya kusitisha mapigano yaliyosimamiwa na Marekani na kuanza kutekelezwa mwezi uliopita wa Oktoba.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS