-
Jahangiri: Matembezi ya Arubaini ya Imam Hussein AS ni nembo ya amani na ukombozi
Nov 20, 2016 23:31Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, matembezi ya Arubaini ya Imam Hussein AS ni nembo ya amani na ukombozi.
-
Makamu wa Rais atoa wito kwa nchi wanachama wa IORA kuwekeza hapa nchini
May 19, 2016 11:25Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Eshaq Jahangiri, ametoa wito kwa wanachama wa jumuiya ya nchi zinazopakana na Bahari ya Hindi (IORA) kuwekeza hapa nchini ili kufaidika na fursa na uwezo wa kiuchumi wa Iran.