-
Kamal Kharrazi: Hatua za kihasama za Marekani dhidi ya Iran si jambo jipya
Jul 28, 2017 07:29Mkuu wa Baraza la Kistratijia la Uhusiano wa Nje wa Iran amesema: Hatua za kihasama za Rais wa Marekani dhidi ya Iran ni siasa zilizoanza tangu mwaka 1979 wakati wa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran na zinaendelea hadi sasa.