Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Kamanda shahidi Qassem Soleimani

  • Mwili mtoharifu wa Shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani wawasili Iran ya Kiislamu

    Mwili mtoharifu wa Shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani wawasili Iran ya Kiislamu

    Jan 05, 2020 05:06

    Mwili mtoharifu wa Shahidi Luteni Jenerali Haj Qassem Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) umewasili katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mapema leo asubuhi katika Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Ahwaz kusini mwa nchi.

  • Jenerali wa Marekani: Iran ina mbinu nyingi na hatari sana za kupambana na Marekani

    Jenerali wa Marekani: Iran ina mbinu nyingi na hatari sana za kupambana na Marekani

    Jan 04, 2020 17:05

    Barry McCaffrey, Jenerali wa Zamani wa Jeshi la Marekani amekiri kwamba Wairan wana mbinu nyingi na hatari sana za kijeshi kwa ajili ya kupambana na Marekani.

  • Kamisheni ya Bunge: Marekani itarajie kisasi kikali kwa hatua yake ya kumuua  Qassim Soleimani

    Kamisheni ya Bunge: Marekani itarajie kisasi kikali kwa hatua yake ya kumuua Qassim Soleimani

    Jan 04, 2020 13:14

    Kamisheni ya Usalama wa Taifa na Siasa za Kigeni katika Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesisitiza kuwa, Marekani mtenda jinai isubirie kisasi kikali dhidi yake kutokana na hatua yake ya kumuua shahidi Luteni Jenerali Qassim Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran (SEPAH).

  • Umati mkubwa wausindikiza na kuuaga mwili wa shahidi Qassim Soleimani mjini Baghdad

    Umati mkubwa wausindikiza na kuuaga mwili wa shahidi Qassim Soleimani mjini Baghdad

    Jan 04, 2020 12:42

    Umati mkubwa wa watu umejitokeza leo katika mji mkuu wa Iraq, Baghdad kushiriki shughuli ya kuusindikiza na kuuaga mwili wa shahidi Qassim Soleimani Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran (SEPAH), aliyeuawa shahidi usiku wa kuamkia jana Ijumaa katika shambulio la roketi lililofyatuliwa na helikopta ya Marekani katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Baghdad.

  • Kutapatapa viongozi wa Marekani ili kuhalalisha jinai yao ya kumuua shahidi kamanda Soleimani

    Kutapatapa viongozi wa Marekani ili kuhalalisha jinai yao ya kumuua shahidi kamanda Soleimani

    Jan 04, 2020 11:43

    Viongozi wa ngazi ya juu wa Marekani wamedhihirisha misimamo ya kukinzana katika juhudi za kuhalalisha jinai yao ya kumuua kigaidi Kamanda Qassem Soleimani baada ya kudai kuwa eti hawataki vita na Iran.

  • Rouhani: Jina la Qassem Soleimani litabakia milele katika historia ya taifa la Iran na wapigania uhuru duniani

    Rouhani: Jina la Qassem Soleimani litabakia milele katika historia ya taifa la Iran na wapigania uhuru duniani

    Jan 04, 2020 08:16

    Rais Hassan Rouhani amesema: Jina la Luteni Jenerali Qassem Soleimani litaheshimika na kubakia milele katika historia ya taifa la Iran na wapigania uhuru duniani.

  • Trump akiri hatua ya kigaidi aliyochukua ya kuamuru kuuliwa shahidi Jenerali Soleimani

    Trump akiri hatua ya kigaidi aliyochukua ya kuamuru kuuliwa shahidi Jenerali Soleimani

    Jan 04, 2020 07:46

    Rais Donald Trump wa Marekani amekiri kuhusu hatua ya kijinai aliyochukua ya kuamuru kutekelezwa operesheni ya mauaji ya kigaidi dhidi ya kamanda wa kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC).

  • Wapalestina: Sehemu kubwa ya juhudi za Shahidi Soleimani zilihusu ukombozi wa Palestina

    Wapalestina: Sehemu kubwa ya juhudi za Shahidi Soleimani zilihusu ukombozi wa Palestina

    Jan 04, 2020 07:45

    Brigedi za shahidi Izzuddin-al Qassam, tawi la kijeshi la Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS zimetangaza kuwa shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani alielekeza sehemu kubwa ya juhudi zake kwa ajili ya kuutokomeza na kuuangamiza utawala wa Kizayuni na kuhitimisha kukaliwa kwa mabavu ardhi ya Palestina.

  • Kumuua shahidi Kamanda Soleimani, kosa kubwa mno la kiistratijia la Marekani

    Kumuua shahidi Kamanda Soleimani, kosa kubwa mno la kiistratijia la Marekani

    Jan 04, 2020 07:36

    Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limetoa tamko maalumu kufuatia jinai ya Marekani ya kumuua shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH. Taarifa hiyo ya jana Ijumaa ilitolewa baada ya kikao cha dharura cha baraza hilo ambacho kilichunguza pembe mbalimbali za tukio hilo la kuchukua maamuzi yanayofaa.

  • Balozi wa Iran UN: Jibu la mauaji ya kigaidi ya Jenerali Soleimani litakuwa la hatua ya kijeshi

    Balozi wa Iran UN: Jibu la mauaji ya kigaidi ya Jenerali Soleimani litakuwa la hatua ya kijeshi

    Jan 04, 2020 07:16

    Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema, jibu la mauaji ya kigaidi ya Luteni Jenerali Qassem Soleimani yaliyofanywa na Marekani bila shaka litakuwa la hatua ya kijeshi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS