-
Balozi wa Israel atimuliwa Colombia kulalamikia jinai za Wazayuni Ukanda wa Ghaza
Oct 17, 2023 06:02Duru mbalimbali za habari zimetangaza usiku wa kuamkia leo Jumanne kwamba, nchi ya Colombia ya Amerika ya Latini imemtimua balozi wa utawala wa Kizayuni wa Israel ikiwa ni kulalamikia jinai za utawala huo dhidi ya wananchi wasio na ulinzi wa Ghaza.